Turudi NBA mkuu.Tungoje tu League Zianze upya huku ni kupoteza pesa 2
Ahsante sana mkuu.namba yake hii 0717561222
Acha kabisa siku hizi ajax kawaje?mliompa ajax nawaona nawaona mjiandae kisaikolojia
Ndo ujue kuwa kuna ushabiki wa aina mbili.Betting ni hatari sana, mimi ni Yanga damudamu, lakini huwezi amini nilikuwa natamani Simba ashindeView attachment 1377137
Sent using Jamii Forums mobile app