tamaa itaniponza, hizi odds 19 za inter nataman kutembea nazo!.......


nasubiri 2nd half, zikifika 20+ natembea nazo!
 
inter natembea nae, odds 20 hata nikiliwa nitajihurumia, odds 20+ siwezi acha....


jana game ya dortmound mtu alikua na odd 48 dk ya 80 akashinda, ndio iwe hizi 20? potelea mbali
 
Hii mara dufu inanitokea je cna bahat
Screenshot_2020-02-09-23-57-10.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom