Hii ni hela kabisa
Screenshot_20200205-202636.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mse****ge sn Lyon ... yalianza kufanya mashambulizi na shots on target dk ya 85+ yani asipokuwepo Memphis Depay, yanakuwa mafala sn
ligi ya ufaransa, cameroon, bundersliga 2, ni moja ya ligi ambazo outsiders wanashinda sana............ timu kutoka ligi hizo ukiziweka 2 ndani ya mkeka mmoja itakua bahati sana ukila!


be careful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YAANI UZI UMEPOA SANA WADAU SIO KAMA MWANZO , UZI UMEFUBAA TATIZO NINI ..KUNA YULE JAMAA ALIE KUWA ANABET MILIONI MILIONI NA ANAPIGA PESA YA MAANA KUNA WAZEE WA KUSPIN BADO WALE WA MABEHEWA WALIKUWA WANAMOTIVATE SANA LAKINI NOW HAWAONEKANI KABISA..... MKO WAPI NJOONI TUMFILISI KANJI ALUDI KWAO INDIA
Kwa sasa tunatembea kimya kimya mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom