hawa jamaa wanachana mkeka leo
kkk.PNG
 
Hakuna faida kwenye betting maana ukishinda leo kesho lazma umrudishie mhindi hela yake.. Jana napoli.. Arsenal.. Chelsea atletico waliondoka n'a kijiji.. Bora ufuge kuku uuze mayai.. Hâta ukicheza over 1.5 utagongwa tu kama totenham hâta 0.5 haijatoka...
Valencia n'a ugumu wake kala 4-1 hahaaa.. Juzi Porto kapigwa n'a bragga nyumbani... Bora tutafute biashara ingine

Sent using Jamii Forums mobile app
yaan na ndio umekuwa addicted sasa kuacha huwez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna faida kwenye betting maana ukishinda leo kesho lazma umrudishie mhindi hela yake.. Jana napoli.. Arsenal.. Chelsea atletico waliondoka n'a kijiji.. Bora ufuge kuku uuze mayai.. Hâta ukicheza over 1.5 utagongwa tu kama totenham hâta 0.5 haijatoka...
Valencia n'a ugumu wake kala 4-1 hahaaa.. Juzi Porto kapigwa n'a bragga nyumbani... Bora tutafute biashara ingine

Sent using Jamii Forums mobile app
mh ynayonikuta adi najilaum kwa nn niliingie kwenye hii kitu, nikifikiria mtonyo uliosepa kwa kubeti kuacha nashindw najipa matumain huenda nkarudisha pesa niloipoteza, ni mwendo wa vifinyo mfululizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuuu punguzeni kulalamika mi nishapigwa pesa ndefu kiasi kwamba sikubali kuacha betting mpaka nirudishe pesa zangu na sina haraka zitarudi pole pole hata anipige millioni 100 nimeshaamuwa Mimi kama mwanaume huwa sikubali kushindwa mpaka kieleweke uzuri mi kila pesa niliyokula au kupoteza Nina andika hivyo mpaka Leo najua Nina mdai kanji shingapi

hahahahaha safi sana mkuu pambana tu
 
yaaan hii kamari mbya sana nguo zangu zimeanza kufubaa nashindwa hata kununua T-shirt mpya kila nikipata hela naweka stake kwa kanji na kanji bila huruma ana pita nayo kam upepo,sielewi hatma yake bora hata nilvokuwa mpiga gambe nilikuwa nakumbuka kununua pamba kali sai v mh, madem wote nshaweka pemben sina mda kumuunga dem bando mm nikipata buku hiyo nia stake ya kanji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom