Pablo 119
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 1,502
- 1,909
Timu za bongo Simba yanga,mtibwa etc nazipata kampun gani?
Sorry mkuu kuna mzigo mrefu kwenye iyo mech imenichanhanya kidogo
Mkuu leo unatokaje,dondosha hadi odds 5 tuokote.Mkuu issue inakuja unataka ku withdraw and let say unataka kutoa 1m kwa uo mlolongo si makato yatafanya nipate laki 8 au kutoa bitcoins no makato?
bos hujalazimishwa kupita ktk uzi huu so ukiona huupend jikatae kimya kimyahii kitu mnaitaga sijui kubeti sijui kunini,sipendi hii.
Wakuu tusaidiane kubashiri kwenye hii Jackpot ya Bet Pawa Maana umoja WETU ndio ushindi wetu
Wakuu nimefungua account local Bitcoin lakin nashindwa kutuma kwenda 1xbet najazaje hapo ili nifanikisheView attachment 1028180
Sent using Jamii Forums mobile app