makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,071
- 80,848
Haina namna..Mjomba Pac...kwasasa mwamin deepond tu hyo lecture kesho
Haina namna..Mjomba Pac...kwasasa mwamin deepond tu hyo lecture kesho
Hongera mkuu..Kwa leo mpaka nafunga hesabu hajanipiga hata mmoja...tuonane kesho jioni wakuu. Naona salio toka 1xbet limeshasoma
Kila la kheri
Hongera mkufunz,mi namdai elf14 zangu had nizilipe hapa mdogo mdogoKwa leo mpaka nafunga hesabu hajanipiga hata mmoja...tuonane kesho jioni wakuu. Naona salio toka 1xbet limeshasoma
Kila la kheri
Usiku mwema mkuu,.Kwa leo mpaka nafunga hesabu hajanipiga hata mmoja...tuonane kesho jioni wakuu. Naona salio toka 1xbet limeshasoma
Kila la kheri
*****LOST****Inplay
Conmebos
Rampla vs UTC
Goal 3 will be scored up to 60:00 min-NO
Odds: 1.38
Kama Ana muamini Mungu basi akuamini na weweHilo ni somo pana kidg.
In short,
Ni lazma uzijue timu, na ligi husika nature yao.
Pia current Game analysis ni lazima uijue trend yake inaenda VP.
Kwasasa,
Copy&paste tu mikeka, hizo shule tufanye siku nyingine.
MDA SIO RAFIKI
Nimekuelewa aisee ndg kwa mikeka yako
mwisho ataleta masuala ya Circle humu.Duh.. kweli kubet hatari ukakumbuka mpaka linear
Tumia app ya jamii forums.., subscribe kwenye hii thread halafu nenda kwenye settings, check sehemu ya alert.... Utakuwa unapata notificaon kila post inayowekwa hapa.. . Inasaidia kutochelewa tips hasa hasa za inplayHiyo mara nyingi huwa inanitokea mm kwenye pesa nachelewa kwenye kupgwa nawahi mapemaaaaaa
Asante mkuu nimeitumia app lakn sijawahi ifatilia kiundan vp hyo silent mode nayo nai turn off au?Tumia app ya jamii forums.., subscribe kwenye hii thread halafu nenda kwenye settings, check sehemu ya alert.... Utakuwa unapata notificaon kila post inayowekwa hapa.. . Inasaidia kutochelewa tips hasa hasa za inplay
Tumia app ya jamii forums.., subscribe kwenye hii thread halafu nenda kwenye settings, check sehemu ya alert.... Utakuwa unapata notificaon kila post inayowekwa hapa.. . Inasaidia kutochelewa tips hasa hasa za inplay
Turn off kama unataka upate notifications muda woteAsante mkuu nimeitumia app lakn sijawahi ifatilia kiundan vp hyo silent mode nayo nai turn off au?
Turn off kama unataka upate notifications muda wote
YapView attachment 708532kama ivyo?
Thanks nafkir kuanzia leo tutaenda sawa.