2018-03-09+00.25.jpg
 
Hilo ni somo pana kidg.

In short,
Ni lazma uzijue timu, na ligi husika nature yao.

Pia current Game analysis ni lazima uijue trend yake inaenda VP.

Kwasasa,

Copy&paste tu mikeka, hizo shule tufanye siku nyingine.

MDA SIO RAFIKI
Kama Ana muamini Mungu basi akuamini na wewe
 
Hiyo mara nyingi huwa inanitokea mm kwenye pesa nachelewa kwenye kupgwa nawahi mapemaaaaaa
Tumia app ya jamii forums.., subscribe kwenye hii thread halafu nenda kwenye settings, check sehemu ya alert.... Utakuwa unapata notificaon kila post inayowekwa hapa.. . Inasaidia kutochelewa tips hasa hasa za inplay
 
Asante mkuu nimeitumia app lakn sijawahi ifatilia kiundan vp hyo silent mode nayo nai turn off au?
 
Tumia app ya jamii forums.., subscribe kwenye hii thread halafu nenda kwenye settings, check sehemu ya alert.... Utakuwa unapata notificaon kila post inayowekwa hapa.. . Inasaidia kutochelewa tips hasa hasa za inplay
Screenshot_2018-03-09-07-09-05.png
 
Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom