Wamebaki hao wawili nifunge mahesabu asubuhi
d45fa02512d32d276a368d4a2734d4d9.jpg
 
Dah 1xbet ananidanganya sana Nilikuwa natengeneza pesa a Dagaa, kaja kununua tiketi yangu nikampa maana muda ulikuwa unayoyoma. Dakika 5 hazijapita mkeka unatiki tena hii ni mara ya pili.

Dah usiku mwema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom