Man uNdio maana mm kubet mpira guwa naonaga michosho mazeee.
man u sasa hivi anatoa GGMan u
🤔Wazee wa direct win bayern anawapa salamu
kwani wana covid hawa bayern?Bayern wenyewe hawaminiView attachment 2117446
Mimi nimeaka aahinde ina 12 atajua mwenyeweYaani ashinde au suruhu ana 5View attachment 2117458
Huyu kocha msimu ujao hana kazi hawezi kutugombanisha na kanji shenzi kabisabayern unachotufanyia wananchi wako sio poa kabisa