0B84DD3
Mtanilipa baada ya mechi ila hizi prediction zimefanyika kwa kina kwa kuzingatia ubora wa timu kwa kipindi husika, majeruhi, game walizokutana, uwanja utaotumika sambamba na umuhimu wa game yenyewe katika kuelekea hatua inayofuata. Weka hata 100K hapa afu tuje tufurahi kesho.View attachment 2035588
nakufuata mkuu

Sent from my STV100-1 using JamiiForums mobile app
 
MADOGO WANABETI AISEE SI MCHEZO
FB_IMG_1638863042586.jpg
 
Usije kuona kama ninakubeza, nimeandika hivyo kwakua naona kabisa unaweza kuja kumuotea afu return ikawa ni ndogo, ila yote kwa yote jitahidi uongeze stake walau iwe hâta 100 kuliko 20.

Pamoja sana mkuu.
😂😂😂😂😂

Nimecheka sana, unamshangaa Rutashubanyuma wakati kuna stake za shilingi 1. Ukichungulia kwenye akaunti za makamaria utaduwaa Muno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom