Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Deje

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
938
1,000
Deal done
Screenshot_20211010-165336_Parimatchtz.jpg
 

Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
5,534
2,000
Mimi betway wanahela yangu wiki ya 2 hii,nimewithdraw ila haijafika kwenye mpesa yangu.
Naona hizi kampuni zimekuja kitapeli tapeli
ni kuwa makini na izi kampuni zinazo kuja, nyingi zinatapeli ela za watu, mkiweka kwenye account wanatokomea nazo , bila kubeti kama Superbet kila baada ya mda flani wanabadilisha application Yao, hata jinsi ya kulogin wanabadilisha , walianza kuingia kwa email wanabadilisha , wamekuja kwa namba ya simu wamebadilisha , saiz wamekuja na jina na namba, naona kabisa wamekimbia na ela . Ivi ivi Mara pili saiz.
 

Lusematic

JF-Expert Member
Feb 2, 2017
10,642
2,000
uzi umechafuka,,

TAIFA STARS huwa hawatabiriki si team ya kuibetia kabisa kama una bet kwa stars hakikisha unkuwa na mikeka yote mitatu ushindi,kudraw au kufungwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom