Multibet
Screenshot_20211012-153121.jpg
 
Pole mzee,
Mitikasi inaishilizia hivyo, natakiwa kurudi geto cjabahatika kupata chochote, heee leo hii moto unaenda kuwaka. Alinipigia cm asubuhi kuniuliza niko wapi nikamdanganya nimewahi kazini nikajusahau bahati mbaya, ila nikamwambia tuangalie jioni. Sasa jioni imefika heee nyieeee.
 
nimesoma kwa sauti ya hip hop
 
Mitikasi inaishilizia hivyo, natakiwa kurudi geto cjabahatika kupata chochote, heee leo hii moto unaenda kuwaka. Alinipigia cm asubuhi kuniuliza niko wapi nikamdanganya nimewahi kazini nikajusahau bahati mbaya, ila nikamwambia tuangalie jioni. Sasa jioni imefika heee nyieeee.
Mkuu subiri akienda kulala, me nlishamchezesha mwenye nyumba wangu. Kodi imeisha na sikuwa nayo. Tena kibaya ni zile za mikataba, ogopa sana. Alikuwa hanioni. Nilikuwa sitoki ndani hadi saa tisa mchana akiwa amelala, na nikirudi ni usiku akiwa ndani. Nioipopata hela nikajifanya nilikuwa busy sana nikamlipa
 
Acha nione huu mchezo mshindi ataibuka nani??🤔🤔🤔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom