Mike Yeadon, former chief scientist at Pfizer, says it is too late to save anyone who has been injected with the so called Covid-19 vaccine.

Mimi niliwaza hivi hapo awali kuwa hii chanjo ya Covid inakwenda kubadili DNA sequence.

Kama hutaki kubadili asili yako usipate hii kitu.
Hii sio chanjo mkuu ni kweli.

A vaccine must do 1 of the following 3 things:​

1.It must block the transmission of a virus or a pathogen.​

2.It must stop someone from being infected.​

3.It must be a treatment of a disease, or must actually block the expression of a pathogen.​


The C-19 shot does not do any of the above three things,kwa hiyo sio chanjo.Wameiita chanjo ili watu waikubali kirahisi.Hiki ni kitendo cha kitapeli.

The C-19 shot is infact a Microsoft Windows 666 Operating System, ambayo itatumika kuku-programme wewe as they wish.Infact hutakuwa tofauti kabisa na computer.It's so scary.
 
Wangapi wameokolewa na hiyo chanjo???
Wangapi wamekufa kwa Corona???
Halafu dunia ina watu bilioni saba.
Mkuu mpaka sasa takriban watu 384,000 wameshakufa kwa sababu ya C-19 injection,kwa hiyo nitakuwa zombie kukubali ujinga huo.
 
Kama unaamini huo ni ukweli basi chanjo ya COVID itakuwa nyenzo sahihi kabisa kuondokana na watu wenye DNA kama za kwako.
Mimi niliwaza hivi hapo awali kuwa hii chanjo ya Covid inakwenda kubadili DNA sequence.

Kama hutaki kubadili asili yako usipate hii kitu.
 
Sasa Kati ya Mimi na wewe NANI ATAKEKUFA MAPEMA?.
Mimi nakataa chanjo wewe unakubali.
Si umeingia kwenye mpango wao?
Huu mpango inapaswa usukwe madhubuti kuwaondoa watu wajinga kama nyie mnaoifanya dunia kuwa ni sehemu ya kijima.
 
Mkuu kwa swala la Corona hakuna shida sana,kwa kuwa ni tatizo la kugushi,kitaalamu huo ugonjwa haupo,ila kama watakuwa karibu na mtu aliyechanjwa,kuna kitu,kinaitwa "Anti-dote." Hizi wanazijua na zipo kwa kila tatizo ambalo wanalo-tengeneza,ila wanaficha.Kwa mfano kwa contagion ya C-19,IPO antidote inayoitwa Suramin.Hii inapatikana kwenye Pine needles.Unachemsha tu Pine needles halafu unakunywa ile chai yake.Mwisho wa comment hii,nimeweka taarifa kamili ya hivyo antidote.Isome mkuu, for sure the C-19 shot is coming to Tanzania.

Nafurahi kwamba watu wengi wameshaanza kujua C-19 ni tatizo la kugushi.Hebu angalia picha zifuatazo uone jinsi watu duniani wanavyo anza kuamka na kuujua ukweli.

View attachment 1774695

View attachment 1774702

View attachment 1774703

View attachment 1774704

Hayo 👆 ni maandamano yaliyofanyika London kupinga masuala ya C-19.
Mkuu unisamehe kwa kutokujua, Pine needles ni kitu gani?
 
Mkuu unisamehe kwa kutokujua, Pine needles ni kitu gani?
Hakuna shida mkuu.Kuna miti fulani ambayo inapatikana sana kwenye maeneo ya baridi.Kwenye nchi za Ulaya ndiyo miti yao.Kwa hapa kwetu inapatikana saana Mbeya na Iringa,lakini hasa Iringa.Majani yake ni kama visindano hivi,ndio maana yanaitwa pine needles.Miti hiyo inatoa mafuta pia,ambayo yanaitwa pine oil .
 
Hapana hiyo God gene sijui umeitoa wap?? Hivi vitu vinaandaa anguko la babeli ila si kwamtazamo wakoo
The God Gene or the VMAT2 gene has been isolated already mkuu,this is science,kama huijui ni wewe.
 
Penye uongo mwingi ukweli hujitenga
Chanjo hazijaanza leo
Wanasayansi wafanye haya kwa lipi haswa? Waue kizazi chote ulimwenguni ili iweje?
Kama ukiuugua unabaki nyumbani bila kwenda hospitali basi amini haya yaliyoandikwa lakini kama unaamini ipo tiba mahospitalini basi chanjo itakufaa

Ni ajabu kuamini kinga zingine lakini si kinga ya Covid19
Mwanadamu maamuzi ni yako Mungu alikupa akili na hekima itumie vyema
Kinga zote ni muhimu kwa magonjwa mengi mfano HIV POLIO YELLOW FEVER CHICKENPOX COVID19 MALARIA na kadhalika
Ninachojua kuna kizazi cha Adam na kizazi cha nyoka, kwahyo katika huu ulimwengu kizazi cha nyoka ni kile ambacho kinawatumia wanadamu kujinufaisha kwa kufanya mautafiti maubunifu mauchunguzi na ugunduzi wa mambo yasiyo na faida yoyote kwa maisha yetu. Kwahiyo usiseme wana sayansi hawawezi kuua binadamu, kuna wana wa Adam wanatumikishwa na wana wa nyoka, na wana wa nyoka wapo duniani kujiimarisha ili kumtengenezea shetani mipango ya kuitawala dunia akiwa na kizazi chake pamoja na wana wa Adam waliomuasi Mungu. Au tu nikwambie kwanini wanadhani wataweza au kufanikiwa , huko mwanzo walizaana waziwazi wakawa wengi ila walikuwa wakubwa sana wakawa wanakula vyakula vingi kiasi kwamba wangemaliza vyakula vya wanadam kabla ya mission ndipo Mungu akashusha gharika wakafa sana, pamoja na wanadam, ila kuna mmoja alisalia ndiye aliyeendeleza kizazi kwa akili na siri sana, na ndio hawa wanaoyafanya maisha yawe hivi, kwa kudanganya watu ni ubunifu au science au technology au ustaarabu kumbe ni ushetani wa matendo unaopambwa kwa maneno ya kibinadam, Ili unielewe vizuri naomba ujiulize, nani anamiliki benki ya dunia?? Haiwezekani dunia nzima inadaiwa sasa mtaji wa kukopa aliweka nani??
 
Hivi kwa nini argument za conspiracy theorist huwa zimejikita kwenye "what somebody said" na sio research ya uhalisia wa jambo. Mimi nilitegemea uelezee kisayansi detailed informations kuonyesha chemicals or poisons zilizomo kwenye chanjo na madhara yake kwa binadamu na jinsi zinavyoweza kusababisha kifo.

Lakini unaleta maneno matupu aliyosema mtu fulani ambayo yanaweza kuwa opinion zake tu na sio fact. Na hata kama alikuwa sijui kiongozi anaweza kuamua kubrainwash watu tu.

Mtu anaweza kusema kitu fulani kudanganya watu tu. Hao wazungu hawawezi kuwa wapumbavu kiasi hicho kutengeneza vifo vya ndani ya miaka mitatu tu.

Hii thread ni ujinga mtupu.
 
Hivi kwa nini argument za conspiracy theorist huwa zimejikita kwenye "what somebody said" na sio research ya uhalisia wa jambo. Mimi nilitegemea uelezee kisayansi detailed informations kuonyesha chemicals or poisons zilizomo kwenye chanjo na madhara yake kwa binadamu na jinsi zinavyoweza kusababisha kifo.

Lakini unaleta maneno matupu aliyosema mtu fulani ambayo yanaweza kuwa opinion zake tu na sio fact. Na hata kama alikuwa sijui kiongozi anaweza kuamua kubrainwash watu tu.

Mtu anaweza kusema kitu fulani kudanganya watu tu. Hao wazungu hawawezi kuwa wapumbavu kiasi hicho kutengeneza vifo vya ndani ya miaka mitatu tu.

Hii thread ni ujinga mtupu.
Ifutwe tu hii...
 
Na kwa nini isiwe kweli mkuu.Kama umeamini uliyofunfishwa
chuoni kwamba ni kweli,basi hii ni kweli zaidi.Na kama ulichukua masomo ya "Ngwini"(masomo ya Arts),ndio usiseme,huko ndiko elimu fake ilipo jaa,afadhali Science.

Kumbuka mkuu kwamba aliyeongea haya ni mtu aliyekuwa wa ndani kabisa Pfizer.

Mkuu haya mambo tulisema yapo siku nyingi sana,watu hawakutuamini,na bado mnaendelea kutoamini wakati tayari kumekucha!Angalia hawa wanakumbuka shuka wakati kumekucha!

Mimi kiukweli niseme kiujumla wanadamu tu-wajinga sana,yaani tulishindwa kabisa kujua kwamba kuna watu waliokua wanapanga mikakati ya kutuua!Very stupid.

View attachment 1774432

View attachment 1774433

mimi nakuelewa , watajuwa tu
 
Back
Top Bottom