Mike Tyson Azuiwa Kuingia Uingereza, Fuatilia Sababu Hapa.

Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
13,085
2,000

Bingwa wa zamani wa ngumi uzito wa juu Mike Tyson amelazimika kujiondoa katika tukio la kujinadi jijini London nchini Uingereza baada ya
kuzuiwa kuingia nchini Uingereza kwa sababu amewahi kutiwa hatiani nchini humo.

Tyson alitarajiwa kuhudhuria tukio la kutangaza kitabu chake ambapo bondia huyo bingwa wa zamani alitumikia kifungo jela miaka mitatu baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka sita kwa kosa la kumbaka mshindani wa ulimbwende kwenye jimbo la indiana nchini Marekani mwaka 1992.

Mtu yeyeto ambaye amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka minne haruhusiwi kuingia Nchini Uingereza kulingana na sheria za uhamiaje za nchi hiyo
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
1,372
0
Nchi za watu hizo bana sheria msumeno unakata potepote,

Na mie leo nimewahi
Tutumie na video kabisa
 

Forum statistics


Threads
1,424,523

Messages
35,065,881

Members
538,009
Top Bottom