Mikataba ya madini hivi ina kikomo kwanza kwisha 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikataba ya madini hivi ina kikomo kwanza kwisha 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dostum, Sep 25, 2012.

 1. d

  dostum JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  wanajanvi ningependa kujua kama hii mikataba ya gesi na madini itakwisha lini ili labda baada ya kwisha hii tuibadili na kumaliza malalamiko yaliyopo. kwani kwa mujibu wa mchumi pro. lipumba na kamanda mwanasheria lissu nilishawahi kuwasikia eti kwa sasa tunapata tsh 3/- kwa kila 100,000/- na kuwa ilikuwa ya miaka 20 ivyo iliyofungwa mwanzoni mwa mkapa akiingia madarakani 1995 itaishia 2015. naomba uhakika wa hili
   
Loading...