Mikataba: Je mikataba ya migodi ikipitiwa inaweza kubadadilishwa?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Moja kwa moja kwenye swali

wengi tunafurahia kupitiwa upya mikataba. Tanzania kule bulyamkulu. mWadui nk kuna almasi mkapa aliwaruhusu wachimbe buree sisi tuwatoze kodi tu. Kifupi huu ni mkataba wa kuufuta.

Je kisheria hii mikataba itarekebika tena? badala ya kucchimba Na kutupatia 3% tupate sawa au zaidi?

naona kuna kiza watz wengi hawana picha hii

mkapa ni MTU mbaya sana
 
Back
Top Bottom