Mikasa ya Maisha: Je ni kawaida kwa baba mtu kufanya wapenzi na mke wa mwanaye? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikasa ya Maisha: Je ni kawaida kwa baba mtu kufanya wapenzi na mke wa mwanaye?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Msafiri Kasian, Feb 18, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ni katika kipindi cha MIKASA YA MAISHA NA RADIO FIVE siku ya alhamisi tarehe 16 febr.2012 ambapo palijadiliwa mkasa wa binti mmoja mkazi wa Moshi(alitambulishwa kwa jina la Yasinta) ambaye alitokea kumpenda kijana mmoja alijulikana kwa jina la Abdala mwenyeji wa Tanga.Vijana hawa walipendana sana na hatimaye kuoana wakaelekea Tanga.Kijana alipata kazi dar akamwacha mkewe Tanga kwa wazazi wake.Cha ajabu ni kwamba baba mtu akamtaka binti yake kimapenzi,akamlazimisha mpaka akamnanihii akapata mimba,binti alichunguza na kufahamu huwa kile kitendo kilikuwa cha kawaida katika familia ile,kwa sababu yule mzee alisha wananihii wake wenza.Sasa nauliza hizi ni tamaduni za kabila gani huko Tanga?
   
 2. m

  mareche JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wachaga hawana tabia hiyo bana labda wasambaa pia bint arudi kwao tutampokea
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Lakini hii tabia sijui ni tamaduni ya kabila gani,mambo ya ajabu haya!
   
 4. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Huyo mumewe alikuwa kabila gani?. Kwa mtizamo wangu hakuna kabila (TZ) ambalo lina utamaduni wa mzazi wa kiume kushiriki ngono na wake za wanae, hiyo ni tabia 2 ya huyo baba mkwe wake.

  Lakini na huyo mwanawake aliua huko alikotoka mpaka alazimishwe kufanya ngono na ba mkwe wake? au alimzimikia mkwewe?
  Mi nafahamu mwanamke akiwa hataki kufanya mapenzi na mwanaume hata afanye nini hatafanikiwa labda ambake!!!.

  Hivyo, labda angesema alikuwa anaukwasi na kwa kuwa mumewe alikuwa mbali akaamua kukata kiu na mkwewe.
   
 5. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  hako kazee kakware tu n makofi katatulia tu. Naye huyo junk ameanzaje kuacha mke ye akaenda kazin! stupid
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  ndo matatizo ya kuacha wake vijijini...
  Unafikiri mihemko yake anaituliza wapi?

  Back to topic
  hakuna kabila lenye mila hiyo, huo ni uzinifu tu wa wahusika
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,424
  Likes Received: 12,693
  Trophy Points: 280
  wachaga wanawakamua wakwe zao!
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mti ukikosa maji hunyauka, baba mtu kalea binti na kumwagilia bustani kumlindia mwanae
   
 9. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hii haipo Tanzani, sijui lakini mm pia kwetu Muheza ~Tanga ila sijawahi kusikia au kuona huu utamaduni.
  Huo ni ushenzi wa baba mkwe wake tu.
   
 10. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,017
  Likes Received: 31,729
  Trophy Points: 280
  mi nshasikia wachaga wanafanya hivo.....
   
 11. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mi mwenyewe nimeshangaa,anadai kuwa hata alipomwambia mumewe alichofanyiwa na baba mkwe wake,mumewe aliona ni kitu cha kawaida kabisa na akamhakikishia kuwa ataendelea kumpenda tena sana,alifurahi pia kwa kuwa alipata mtoto ambaye ni damu ya familia yao.
   
 12. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  sio kweli!!!

   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  hapo cjui,haya ninayoandika ndio aliyosema yule dada mwenyewe kwenye mkasa wake!
   
 14. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  lipo kabila(jina nalihifadhi) lina utamaduni huo...kama umeoa na siku ukakuta mkuki umesimikwa kwenye mlango wa kibanda chako basi ujue baba/kaka yako nk anamtafuna mke wako...hii kitu ni acceptable kabisa kwenye hilo kabila...!
   
 15. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160

  Hii movii ya kibongo!
   
 16. S

  Simcaesor Senior Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kulazimisha ni kubaka mana yake alibakwa sasa akamshitaki huyo mtu kama ni mawazo ni hayo vinginevyo amependa kupigwa mti na huyo mzee huo ni ****** wake kama alimlazimisha kwanini hasipiga kele?????
   
 17. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kabila lao. Na kama hujui majina yao, twende kazi:
  Shelukindo
  Shekiondo
  Shemtoi
  Shebarua
  Shekilasa
  SHETANI
  Shekudeku
  Ni she she she kwenda mbele, ila ukoo unaanzia kwa Shetani.

  Lakini tuwe makini pia, inawezekana walikuwa wanataniana. Wachaga na Wasambaa ni watani wa jadi.
   
 18. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Labda ni yule Mapoazi wa JF. Hata juzi alikuta uchafu kwenye FANTA, badala ya kupeleka TFDA au TBS akaja kupiga kelele JF. Mtu wa namna hiyo akibakwa haendi polisi, anaenda radioni kusononeka.
   
 19. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sidhani kama kuna mila na tamadun za namna hiyo ... huo ni ukwale wa mzee tu
   
 20. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwenyewe nilisikiaga nikawauliza wenyewe wanasema zamani sana hiyo mila sasa haipo
   
Loading...