Ni zaidi ya ukatiliNikisoma historia yako upande mmoja nahisi hutakiwi kupata msamaha kwa watu na kwa MUNGU maana umeumiza watu wasio na hatia, yaani uchukue mkewe na kumuua umuue pamoja na watoto wake.
Kwa mtiririko wa story alivyotuadisia kifo cha mama ni mpango wa munguKifo cha mama ni mipango ya Mungu au ni mipango yako na malkia wako ebu tuelezee hapo
Jamaa kamuua mtoto wa sister wake sembuse hao watoto wa hawalaWatoto wa jamaa umewakosea sana,bora hata ungemuua tu jamaa yako tu
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Me mwenyewe niko hapa namsikiliziaShusha episode Mkuu.
story inogileMKASA WA PILI - Sehemu ya 39.
Inaendelea.............
Mida ya saa 5 asubuhi yule jamaa alikuja pale lodge,nilimwambia sitokaa sana hapo Kakola kwani ingenipasa nirejee Mwanza mara moja!.Jamaa akawa ananiambia "Kaka kama una hela wekeza migodini utapata pesa nyingi sana na kingine pia fungua hata hoteli hapa Kakola au Kahama utapiga pesa".
Nilimwambia "Haina shida ngoja kwanza nikajipange halafu mambo yakiwa sawa nitakwambia ili tufanye kazi".
Nilimpatia zile pesa zilizokuwa nimebeba kiasi cha milioni 2,nikamwambia azitumie kwa ajili ya matumizi madogo madogo!.
Jamaa aliniambia "Kaka kumbe una hela hivi!,ngoja niweke mambo yangu vizuri halafu nitakuja Mwanza tuongee vizuri!".
Aliendelea kuniambia "Hii pesa nampa mke wangu afanyie biashara maana kuna biashara tuliplani kuifanya ila sema hatukuwa na mtaji".
Nilitaka kumwambia hiyo pesa asiifanyie biashara kwasababu bado nilikuwa sijapewa ruhusa na Malikia kutumia hela zangu kwa matumizi ya uwekezaji,sana sana angeitumia kwenye biashara ilikuwa inakufa yenyewe,niliamua kukaa kimya ili afanye ambacho angeona kinamfaa ili isiwe rahisi yeye kunishitukia kwamba ile hela ilikuwa ya kafara ya damu za watu.Wakati huo sikutaka kabisa kumwambia nilipata mafanikio kwa njia gani,nilipanga nisimwambie chochote,nilitaka yeye afahamu tu kwamba nilikuwa nafanya biashara,japo niliwahi kumwambia adhma yangu ni kuwa Tajiri lakini mpaka wakati huo hakufahamu ule utajiri niliupataje!.Jamaa alifurahi sana baada ya kumpatia ile hela,aliahidi angekuja Mwanza tukae tuzungumze vizuri mambo ya maisha.Nilijianda nikawa nimeondoka zangu kurejea Mwanza.Baada ya kufika Mwanza nilimpigia simu dereva nikamwambia anifuate stendi ili tuelekee Nyegezi ambapo wakati huo alikuwa akikaa dada yangu ili nikawasalimie.
Kwakuwa nilikuwa nina njaa nilisubiri mpaka waivishe chakula nile halafu ndiyo tuondoke.
Dada yangu aliniambia"Mdogo wangu nisaidie basi hata hela ya mafuta maana kesho kuna mahali nataka kuelekea Usagara na shemeji yako hivyo sina hata hela".
Nilikuwaga nikimpenda sana yule dada yangu kwa namna alivyokuwaga mpole,wakati mwingine nilikuwa nikimuonea huruma sana,kwa wakati huo nilifahamu kabisa mimi ndiye nilibaki kuwa kila kitu kwa maana mama yetu hakuwepo,hata mumewe naye hakuwa na uwezo mkubwa bali alikuwa na hela ya kubadili mboga tu!.Basi nilimwambia nikifika nyumbani usiku huo ningempatia dereva ampelekee.Sasa wakati tukiwa njiani tukielekea Igoma,dereva alianza kuniambia kwamba yule mwanamke wa bosi wake wa zamani ambaye alikuja naye siku kadhaa zilizokuwa zimepita pale maeneo ya Kirumba,alikuwa akiomba nimsaidie mkopo wa pesa halafu angenirudishia!.
Dereva aliniambia "Bosi hawa wanawake wewe acha tu!".
Nilimuuliza"Kwanini?".
Aliniambia "Yaani huwezi amini yule mwanamke siku ile tukiwa njiani alianza kunibembeleza kwamba nimuombee mkopo kwako maana unaonekana una pesa sana".
Nilimuuliza"Wewe ulimwambiaje?".
Dereva alinijibu "Mimi ningemwambia nini bosi zaidi ya kumwambia asubiri kwanza niongee na wewe".
Nilimuuliza "Alikwambia anataka bei gani?".
Aliniambia "Kiukweli hakuniambia anataka bei gani!".
Nikamwambia "Basi uje umuulize".
Niliendelea kumuuliza"Lakini si umeniambia kwamba ni mke wa tajiri yako wa zamani,ina maana mumewe hawezi kumpa hiyo pesa anayoitaka?"
Aliniambia "Bosi wewe acha tu,yule mwanamke ni mke wa pili wa huyo bosi wangu wa zamani na wamezaa naye mtoto mmoja tu na jamaa ana hela sana sasa sijajua nini ni tatizo".
Nikamwambia "Ok sawa haina shida wewe utamjulisha kama nilivyokwambia".
Nilifika nyumbani nikiwa nimechoka sana na moja kwa moja nilielekea chumbani kwangu kwa ajili kupumzika,lakini yule binamu,mtoto wa shangazi aliniambia kulikuwa kuna chakula niende nikale.
Nilimwambia"Sidhani kama nitakula maana nimekula kule nyumbani nahisi kushiba".
Basi siku iliyofuata dereva aliingia ndani akawa ananigongea mlango,nilifungua mlango nilipomwona ni dereva nilimwambia anisubiri kidogo.Nilipomaliza kazi niliyokuwa nikiifanya nilitoka kwenda sebuleni kumskiliza.
Dereva aliniambia "Samahani bosi kwa kukusumbua,niliwasiliana na yule mwanamke wa bosi wangu wa zamani alisema anataka aonane na wewe maana pesa anayoitaka si ya kuongelea kwenye simu".
Nilimwambia "Ok sawa wewe muelekeze aje nyumbani mimi nipo tu sitatoka leo".
Haukupita muda nilianza kusikia honi za pikipiki nje ya geti na bila shaka nilijua kutakuwa na mgeni au wageni,mlinzi alifungua geti na muda kidogo nilisikia mlango wa nyumba ukigongwa,nilitoka kwenda kuufungua ndipo nikakutana na sura za wanawake wawili waliokuwa wameongozana na dereva wangu.Niliwakaribisha ndani na kwasababu dereva wangu alikuwa mwenyeji nilimwambia awapeleke sebuleni na awaulize walikuwa wanatumia vinywaji gani,maana vinywaji vya kila aina vilikuwepo kwenye jokofu.Sasa wakati wao wanaelekea sebuleni mimi nilirudi chumbani kuvaa maana wakati huo nilikuwa tu kwenye taulo,nilihakikisha pia nanukia marashi yenye harufu nzuri maana nilitaka niwachanganye wale wanawake.
Niliwaambia "Karibuni sana".
Niliwakaribisha wale wanawake ambao wakati huo walionekana kuchanganyikiwa na ule mjengo,pamoja na maisha ya kifahari niliyokuwa nikiishi.
Waliitikia "Ahsante sana".
Nilimuuliza dereva "Mbona hakuna vinywaji kwa wageni?".
Nilimuuliza dereva ambaye wakati huo nilimpatia majukumu ya muda kwasababu yule mtoto wa shangazi ambaye nilikuwa nikiishi naye alikuwa ameenda shuleni.
Dereva aliniambia "Bosi nimewauliza wanatumia vinywaji gani lakini naona kama wanaona haibu!"
Niliwauliza "Jamani eti mnaona aibu?"
Yule mwanamke wa bosi wa zamani wa dereva wangu alisema "Basi mimi naomba soda yeyote tu iliyopo".
Niliwaambia "kuna soda na Wine,pia kuna vinywaji visivyokuwa na kilevi kama bavaria,kunyweni msinionee aibu!".
Yule rafiki yake waliyeongozana naye yeye akasema "mimi nipe bavaria".
Niliwaambia "Jamani msione humu ndani pako kimya maana binti ninaye kaa naye hapa kaenda shule ndiyo maana mnaona namuagiza dereva kufanya kila kitu,hata hivyo yeye ni mwenyeji hivyo msihofu".
Baada ya muda dereva aliniambia anaondoka kidogo mazingira ya pale nyumbani kuna mahali alikuwa akielekea,nikamwambia asiende mbali sana kwasababu wale wanawake wangetakakuondoka nilitaka awasindikize ili niendelee kujijengea sifa,sikutaka warudi na bodaboda walikotoka maana usafiri wa kifahari ulikuwepo!.
Yule mwanamke wa bosi wake wa zamani na dereva wangu aliniambia "Samahani sana kaka bila shaka wewe ndiye bosi wake na ..........(dereva)".
Nilimjibu "ndiyo".
Aliniambia "Mimi naitwa .......na huyu rafiki yangu anaitwa Scolastica".
Aliendelea kuniambia "Kiukweli kaka mimi nilikuwa naomba utusaidie mkopo wa milioni 5 na utatupa miezi mitatu tutakuwa tumeurudisha".
Niliwauliza "Mimi nina uhakika gani kama kweli mtarudisha?".
Nilijaribu kuwauliza lile swali nikiamini kabisa hata kama wasingerudisha nilikuwa nimeamua tu kuwasaidia maana kama ni pesa nilikuwa nayo ya kutosha wakati huo.Nia yangu ilikuwa ni kumsogeza karibu yule mwanamke wa bosi wake wa zamani dereva wangu ili apagawe kisha baada ya hapo bakora zimtembelee,nisingeweza kuziacha nyama za mwili wake zilizokuwa zimejaa kwa ustadi wakati ndiyo ulikuwa udhaifu wangu.
Aliniambia "Nakuhakikishia nitarudisha maana kabla hujatupa nadhani kutakuwa na mashahidi wa pande zote mbili na mjumbe pia atakuwepo".
Nilifahamu fika kwamba wasingekuwa na uwezo wa kunidhurumu kwa njia yeyote ile ila niliamua kufanya vile kuwatia kiwewe!.Niliingia ndani nikahesabu milioni 5 walizoniomba,kwakuwa zilikuwa mpya hazikuwa nyingi sana,nikaziweka kwenye kimfuko fulani ambacho isingekuwa rahisi kuonekana ili isiwaletee shida.Baada ya kumpatia zile hela alionekana kushangaa sana.
Aliniambia "Ahsante sana kaka Mungu akubariki sana".
Haukupita muda yule mwanamke wa bosi wake wa zamani dereva wangu aliniambia "sisi inapaswa tuondoke maana kuna mahala tunawahi kaka".
Basi muda na siku zilisonga nikiwa kama kawaida naendelea kutoa kafara kila mwisho wa mwezi.Nakumbuka ikiwa imepita miezi mitatu baada ya kumzika mama,yaani mwezi wa 9 ya huo mwaka wa 2014,nilishitushwa usiku wa 6 na sauti ya Malikia iliyokuwa ikiita kule kwenye chumba cha siri.Niliamka na kuelekea huko,nilipoingia ndani nilimsujudia yule Malikia kama kawaida huku uso wangu ukiwa unatazama chini,safari hii alioneka kukaa kwenye kiti lakini kiti alichokalia sikuweza kukiona!.Lilikuwa ni tukio la ajabu sana kuwahi kulishuhudia kipindi hicho.
Malikia aliniambia"Nadhani unakumbuka kwamba nilikwambia kuna mahali nitakutuma".
Nilimjibu"Ndiyo Malikia nakumbuka".
Aliendelea kuniambia "Sasa utatoka hapa kuelekea maeneo utakayoonyeshwa na huko mtakuwa na wenzio,nadhani unaelewa kwamba kila utakayemuona huko au utakacho kiona huko itabaki siri".
Aliendelea kuniambia "Baada ya hiyo kafara lile ombi lako uliloniomba litafanikiwa kwa kiwango kikubwa,hivyo jipe moyo kafanye kazi maana nakupenda kuliko hata wenzio ninavyo wapenda maana umekuwa mtiifu".
Baada ya kimya cha sekunde kadhaa,niliinua macho sikumuona mle ndani tayari alikuwa kesha ondoka!.Nilifunga kile chumba nikaelekea chumbani kwangu kulala,wakati huo nilikuwa nikijiuliza maswali yasiyokuwa na majibu,"Hao wenzangu ni kina nani?".
Kwakuwa nilishazoea kwenda mahali popote nilipokuwa nikiagizwa kwa ajili ya utoaji wa kafara sikuliwazia sana hilo jambo,nililowaza lilikuwa ni hao wenzangu walikuwa akina nani?.
Itaendelea.................
MKASA WA PILI - Sehemu ya 39.

Ungekuwa unatoa 5 episode per dayMKASA WA PILI - Sehemu ya 39.

Ungekuwa unatoa 5 episode per day