Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 13,378
- 9,749
Hivi unaamini yote yanayohadithiwa humu? me myself and i nikikutaka kimapenzi njia nyingi sana za kawaida tu deal done.Hapa nimejifunza kitu..
Usione mtu kachepuka/kakuacha /upendo umepungua ukajua ni hali ya kawaida aisee jamani maombi ni muhimu sana kwenye mahusiano/ndoa zetu, Mungu atusaidie kwakweli..