Mikakati ya Kutupeleka World Cup Yajadiliwa HAPA


Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe ambaye bia yake inadhamini Taifa Stars, akitoa mada wakati wa ufunguzi wa mkutano unaojumuisha wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania bara na Zanzibar ili kuangalia namna ya kuboresha Timu ya Taifa (Taifa Stars). Waliokaa kutoka kushoto ni Rais wa ZFA Ravia Idarous Faina, Rais wa TFF Jamal Malinzi, Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar, Hamisi Said na Makamu wa Rais wa ZFA Ali Mohamed Ali. Mkutano huo wa siku tatu unaodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager unafanyika katika hoteli ya Mtoni Marine visiwani Zanzibar
 

Forum statistics

Threads 1,251,595
Members 481,811
Posts 29,777,240