Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu.

NAMI uhuru wa maoni.Alichoongea ndicho anachkifikiria ana haki ya kuongea ilimradi hajamtukana mtu.Na kama TBC wanalakujibu basi watamjibu AWEDA maana ndiye aliyekosoa.Hata wewe unahaki ya kukosoa ITV.
 
Huu utetezi wenu wa kizamani na vile vimakofi walivyokuwa wanampigia wapambe mle ndani ndo mnazidi kumfanya ajione amefanya sawa. Kwani kuna TV gani nyingine imedaiwa kuibeba chama zaidi ya TBC?

MKuu nashindwa kabisa kukuelewa ... japokua hakutaja TBC kumbe wewe una uhakika kwamba TBC inaibeba CCM? Sasa hata kama angetaja TBC, wewe una utetezi gani kwa TBC? Mkuu hebu tiririka vizuri nikuelewe!
 
Mhhh, yale yale ya "ndani ya Bus kuna asbiria 49 na Mmakonde mmoja".

Yaani unaposema "Shs 10,001 ni elfu kumi na shilingi moja" kwani hizo Elfu kumi si shilingi?

Utafikiri umewekewa maembe elfu 10 na Shilingi moja? Khaaaa!!!!!!

Shs 11,000 ni shs. kumi na moja Elfu.
Shs 10,001 ni Shs. Elfu kumi na moja.

Kiswahili kama wanavyokifahamu wengi ni lugha inayobadilika kila siku.
Kwa vijana wa kileo watakuambia BEI gani?
Hata hivyo kujibu swali lako
Shs 11,000 ni elfu kumi na moja
Shs 10,001 ni elfu kumi na shilingi moja
Upo hapo .
 
Mhhh, yale yale ya "ndani ya Bus kuna asbiria 49 na Mmakonde mmoja".

Yaani unaposema "Shs 10,001 ni elfu kumi na shilingi moja" kwani hizo Elfu kumi si shilingi?

Utafikiri umewekewa maembe elfu 10 na Shilingi moja? Khaaaa!!!!!!

Shs 11,000 ni shs. kumi na moja Elfu.
Shs 10,001 ni Shs. Elfu kumi na moja.

Karibu ungepatia, jibu sahihi ni:
11,000 = Kumi na moja elfu
10,001 = Kumi elfu na moja

Nimeipenda hii chemsha bongo maana inasaidia kutosoma up.pu mwingineo huku ...

Kumi elfu na moja
 
Kama kweli *iliyoshambuliwa ni TBC sioni hata tatizo,TBC kimekuwa ni kichaka cha CCM ni kama vile Mkurugenzi mshana analipa fadhila kwa wadhifa aliopewa,wanajivuta sana kurusha habari zinazoikosoa serikali ya CCM mifano ni mingi na members wengi humu wamekuwa wakilalamika na wengine kuwashangaa wenzao kwamba bado tu wanaitazama TBC (TBCCCM KM WANAVYOIITA).
 
Jana nilimsikiliza vizuri sana Aweda kwenye Malumbano ya hoja. Alizungumza vizuri sana kuliko wazungumzaji walio wengi. Lakini point yake ya pili kwa maoni yangu alipotea ramani kabisa na kujiharibia mwenyewe kabisa. Si sahihi yeye kuisifia ITV ambayo inamwalika karibu kila wiki mara malumbano ya hoja, mara kipima joto mara vipindi vipindi vingine halafu akapata ujasiri wa kitoto wa kuishambulia TBC kuwa ni kipeperushi cha baadhi ya vyama. Nina uhakika alikuwa analenga TBC japokuwa hajaitaja kwa jina. Ina maanisha kwamba Aweda hahitaji kutumia TBC hata siku moja? Je, kwa kuwa Mbowe na kamati kuu wamesema yeye ilikuwa inamhusu nini kuingia kwenye hoja ambazo hazimsaidii.
Kwa kweli, nilikuwa namheshimu sana Aweda kwenye mitandao na ktk vipindi vya ITV ambavyo mimi nimtazamaji mzuri lakini jana nilimwonea kama mwanampotevu.
Mwisho, Aweda nakushauri, najua JF unakuja kwa mara na thread yangu utaisoma, achana utoto. Vinginevyo siasa zitakushinda mapema kabisa mdogo wangu.
Mods msifute mada yangu, kwa sababu mimi sijui kama Mikael P Aweda huyo ni wa JF au La.
Mkuu Nami,
Pole sana mkuu kama yule Mikael P Aweda wa kwenye ITV alikuudhi kiasi cha kuanzisha uzi huu. Hata mimi nilimwona akiongea hivyo. Nadhani majibu uliyopewa na wanajamvi yamekutosha.
Nina swali moja, Yeye hakutaja jina la TV sasa kwa nini wewe umetaja TBC? Kwani TBC huwa inabeba ccm?
Sina cha kuongeza
.
 
kuna walevi wa mawazo humu. Haya mtoa mada, ina maana huuoni ujinga wa tbc? Pole ndugu una siku chache sana za kuishi.
 
Mkuu Nami,
Pole sana mkuu kama yule Mikael P Aweda wa kwenye ITV alikuudhi kiasi cha kuanzisha uzi huu. Hata mimi nilimwona akiongea hivyo. Nadhani majibu uliyopewa na wanajamvi yamekutosha.
Nina swali moja, Yeye hakutaja jina la TV sasa kwa nini wewe umetaja TBC? Kwani TBC huwa inabeba ccm?
Sina cha kuongeza
.

Mkuu umeshamaliza wewefanya kazi nyingine, sisi huyu gamba anayejiita Nami tumeshambana vyakutosha hana jipya. Jana ulifunika sana mkuu. Hongera sana mkuu. ila nilisikitishwa na waandishi kutojitetea wenyewe.
 
nafikiri nikuache ukikua utajua namaanisha nini. uliza wakongwe wa hili jamvi huyu gfsonwin ni chama gani? utajua usikurupuke tu kudandia treni kwa mbele. sina imani na Aweda full stop. wala msikaririshe watu kwamba chadema ndo chama chenye watu safi kuliko vyama vingine allah! tatizo wanachadema wengi mnatawaliwa na jazba kuliko kuangalia facts. na kamwe hamtashika madaraka kwa stail hii. mnafanya jamvi kuwa mali ya cdm tu akisema mtu mwingine kosa mkikosolewa kosa nyie nani hadi mtutishe ama tuwaogope? mmefanya nini cha ajabu sana ambacho kitatushawishi hata kuwafikiria? ama huko kupiga kelele na kusababisha vifo vya wenzenu? tena natamani kweli nikufahamu vizuri ama ulete ID yako nyingine hapa.

Sheria za JF zinanizuia. Wewe kweli ni Chadema na nakujua. Tena uko ukonga ambako Aweda ni Mkiti. Wewe una mgongano wa Kimaslahi jimbo la Ukonga na Aweda. Kama unabisha ni pm nikupe live wewe na nani?
 
Matatizo ya kuongea lugha nyingi kila siku...... NIMECHEMSHA, hahahahaa hizi lugha bana :)

Inanikumbusha jamaa alijifanya yeye kala chumvi nyingi na lugha za vijana hazifahamu.... Akasema "hizi lugha zenu vijana, mie zinanipa shida, ngoja NIJIKATE......."

Mhhh, ilibidi abaki tu maana neno KUJIKATA ambalo ndiyo lilikuwa jipya kabisa, lilimshusha umri wake kwa sana tu.
Karibu ungepatia, jibu sahihi ni:
11,000 = Kumi na moja elfu
10,001 = Kumi elfu na moja

Nimeipenda hii chemsha bongo maana inasaidia kutosoma up.pu mwingineo huku ...

Kumi elfu na moja
 
nafikiri nikuache ukikua utajua namaanisha nini. uliza wakongwe wa hili jamvi huyu gfsonwin ni chama gani? utajua usikurupuke tu kudandia treni kwa mbele. sina imani na Aweda full stop. wala msikaririshe watu kwamba chadema ndo chama chenye watu safi kuliko vyama vingine allah! tatizo wanachadema wengi mnatawaliwa na jazba kuliko kuangalia facts. na kamwe hamtashika madaraka kwa stail hii. mnafanya jamvi kuwa mali ya cdm tu akisema mtu mwingine kosa mkikosolewa kosa nyie nani hadi mtutishe ama tuwaogope? mmefanya nini cha ajabu sana ambacho kitatushawishi hata kuwafikiria? ama huko kupiga kelele na kusababisha vifo vya wenzenu? tena natamani kweli nikufahamu vizuri ama ulete ID yako nyingine hapa.

Majuzi nilikuona umempakia Mleta mada NAMI kwenye gari lako. Nami hajambo. Msalimie ukimwona tena. Mwambie ile mada uliyoleta kuhusu Aweda Mikael kuishambulia TBC imepata wachangiaji wengi sana ila wamemponda sana.
 
Huyu Aweda ameidhalilisha sana JF. Mi nashangaa sana kwanini mtu kama huyu hadi sasa bado hajakamatwa.
 
Majuzi nilikuona umempakia Mleta mada NAMI kwenye gari lako. Nami hajambo. Msalimie ukimwona tena. Mwambie ile mada uliyoleta kuhusu Aweda Mikael kuishambulia TBC imepata wachangiaji wengi sana ila wamemponda sana.

Mkuu kwanini usijadili hoja,acha umbea
 
Jana nilimsikiliza vizuri sana Aweda kwenye Malumbano ya hoja. Alizungumza vizuri sana kuliko wazungumzaji walio wengi. Lakini point yake ya pili kwa maoni yangu alipotea ramani kabisa na kujiharibia mwenyewe kabisa. Si sahihi yeye kuisifia ITV ambayo inamwalika karibu kila wiki mara malumbano ya hoja, mara kipima joto mara vipindi vipindi vingine halafu akapata ujasiri wa kitoto wa kuishambulia TBC kuwa ni kipeperushi cha baadhi ya vyama. Nina uhakika alikuwa analenga TBC japokuwa hajaitaja kwa jina. Ina maanisha kwamba Aweda hahitaji kutumia TBC hata siku moja?

Je, kwa kuwa Mbowe na kamati kuu wamesema yeye ilikuwa inamhusu nini kuingia kwenye hoja ambazo hazimsaidii.

Kwa kweli, nilikuwa namheshimu sana Aweda hapa JF na ktk vipindi vya ITV ambavyo mimi nimtazamaji mzuri lakini jana nilimwonea kama mwanampotevu.

Mwisho, Aweda nakushauri, najua JF unakuja kwa mara na thread yangu utaisoma, achana utoto. Vinginevyo siasa zitakushinda mapema kabisa mdogo wangu.

Wewe utakuwa shabiki wa tbc, umesema hajataja tbc ila unahisi ndo inayoongelewa km hisia zako ziko sahihi huo ndo ukweli hata km unauma, tbc sio chombo cha kitaifa tena bali ni cha ccm, imekosa mvuto.
 
Utake usitake jimbo atapata. tena yeye ni sawa na magamba kumi mjengoni. Iwe kwao manyara au ukonga tunampa.
hujawaona jana alivyowafunika magamba zaidi ya 10 waliokuwa wanasema waandishi wa habari wako salama? Mbona waliishia kumpigia makofi?

Ametoka Kwembe amehamia ukonga?

Hivi vijana siku hizi wamegundua huu mtindo mpya wa kujiajiri kwenye siasa????

Tufanye kazi kwa bidii wajameni.
 
Back
Top Bottom