Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NAMI, Sep 21, 2012.

 1. N

  NAMI Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana nilimsikiliza vizuri sana Aweda kwenye Malumbano ya hoja. Alizungumza vizuri sana kuliko wazungumzaji walio wengi. Lakini point yake ya pili kwa maoni yangu alipotea ramani kabisa na kujiharibia mwenyewe kabisa. Si sahihi yeye kuisifia ITV ambayo inamwalika karibu kila wiki mara malumbano ya hoja, mara kipima joto mara vipindi vipindi vingine halafu akapata ujasiri wa kitoto wa kuishambulia TBC kuwa ni kipeperushi cha baadhi ya vyama. Nina uhakika alikuwa analenga TBC japokuwa hajaitaja kwa jina. Ina maanisha kwamba Aweda hahitaji kutumia TBC hata siku moja?

  Je, kwa kuwa Mbowe na kamati kuu wamesema yeye ilikuwa inamhusu nini kuingia kwenye hoja ambazo hazimsaidii.

  Kwa kweli, nilikuwa namheshimu sana Aweda hapa JF na ktk vipindi vya ITV ambavyo mimi nimtazamaji mzuri lakini jana nilimwonea kama mwanampotevu.

  Mwisho, Aweda nakushauri, najua JF unakuja kwa mara na thread yangu utaisoma, achana utoto. Vinginevyo siasa zitakushinda mapema kabisa mdogo wangu.
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Mahaba haya jamani! Hivi miaka 50 ya wizi wa Magamba bado mna mahaba kiasi hiki! wewe ni msemaji wa TBCCM?
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mimi huwa nashangaa sana mtu unaposhindwa kushindana kwa hoja na kuanza kumshambulia mtu 'kibinafsi'.
  Swala 'utoto' linakujaje hapo?
  After all kila mtu anatoa maoni yake kulingana na mtazamo wake katika jambo flani.
  Hata kama maoni yake hayakufurahishi lakini ndio mtazamo wake huo na ana vigezo vyake.
   
 4. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Mimi naona wewe ndio unakosa weredi! Tbc ni chombo cha kitaifa wanapokiuka maadili na kuwa chombo cha propaganda waambiw
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  siasa zitamshinda kwa kuiponda TBCCCM au kwa kuisifia ITV.??
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mods toa hii **** plz! Kwani huyo Aweda alienda ITV kuwakilisha JF? Una uhakika gani Aweda huyo aliekuwa ITV ndio huyu hapa wa JF?
  Hapa mtoto ni wewe, you don't need to show off that you know the guy. Ungeweza kuongelea hoja bila kumhusisha na ID yake!
   
 7. N

  NAMI Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Awenda ni nani ktk nchi hii mpaka yeye awafundishe TBC kazi na weledi. Visifa mnavyompa humu JF ndo vinampa kiburi sana huyu hadi anaenda nayo ITV hajui kwamba ITV siyo JF. Mbona hamnielewi.
   
 8. N

  NAMI Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana nilimsikiliza vizuri sana Aweda kwenye Malumbano ya hoja. Alizungumza vizuri sana kuliko wazungumzaji walio wengi. Lakini point yake ya pili kwa maoni yangu alipotea ramani kabisa na kujiharibia mwenyewe kabisa. Si sahihi yeye kuisifia ITV ambayo inamwalika karibu kila wiki mara malumbano ya hoja, mara kipima joto mara vipindi vipindi vingine halafu akapata ujasiri wa kitoto wa kuishambulia TBC kuwa ni kipeperushi cha baadhi ya vyama. Nina uhakika alikuwa analenga TBC japokuwa hajaitaja kwa jina. Ina maanisha kwamba Aweda hahitaji kutumia TBC hata siku moja? Je, kwa kuwa Mbowe na kamati kuu wamesema yeye ilikuwa inamhusu nini kuingia kwenye hoja ambazo hazimsaidii.
  Kwa kweli, nilikuwa namheshimu sana Aweda kwenye mitandao na ktk vipindi vya ITV ambavyo mimi nimtazamaji mzuri lakini jana nilimwonea kama mwanampotevu.
  Mwisho, Aweda nakushauri, najua JF unakuja kwa mara na thread yangu utaisoma, achana utoto. Vinginevyo siasa zitakushinda mapema kabisa mdogo wangu.
  Mods msifute mada yangu, kwa sababu mimi sijui kama Mikael P Aweda huyo ni wa JF au La.
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hakuna TV inayoitwa TBC bali kuna TBCCM.
   
 10. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Amefanya vizuri sana.
   
 11. N

  NAMI Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa, nani kamtuma yeye kuishambulia TBCCM?
   
 12. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Kama Great Thinker, hukutakiwa kuwa na jaziba juu yake iwapo umethibitisha pasi kuacha shaka kuwa hauitaja kwa jina kuwa ni TBC. Hivyo hisia zako ndo zilikupelekea kufikiri hivyo. Kwa ushauri wangu jipange upya, ondoa jaziba na umwombe msamaha then toa allegations zako juu yake ili aweze kukujibu. Vinginevyo hapo jibu lake ni dogo na ni moja tu "Sikutaja TBC"
   
 13. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  "Nina uhakika alikuwa analenga TBC japokuwa hajaitaja kwa jina" Sasa mkuu aliishashambuliaje bila kutaja jina? Ufafanuzi tafadhali.
   
 14. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ***** unawasha
   
 15. N

  NAMI Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu utetezi wenu wa kizamani na vile vimakofi walivyokuwa wanampigia wapambe mle ndani ndo mnazidi kumfanya ajione amefanya sawa. Kwani kuna TV gani nyingine imedaiwa kuibeba chama zaidi ya TBC?
   
 16. S

  SEBM JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Elimu yako uliipata sekondari ya Kata na Chuo Cha Kata?

  Unajichanganya mwanzo mpaka mwisho.
  1. Ni wapi aliitaja TBC?
  2. Katika ufahamu wako, yeye ni mtu wa kwanza kuisifia ITV kwa kuweka vipindi kama vile 'kwa uwazi'? Kosa lake ni kumsifia dada Joyce?
  3. Nadhani mada yako hii ungemshirikisha yule mzee anayeandikiaga MTANZANIA JUMAPILI, angekusaidia sana.
  4. Umekerwa sana na Aweda kushiriki mijadala ya ITV ?Kwani anajialika mwenyewe? Si ungewauliza akina Deo, Fatma na Deo au Masako jinsi ya kushiriki aidha MALUMBANO YA HOJA au KIPIMA JOTO?

  Una wivu sana wewe...
   
 17. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu unaonekana ni kibaraka kama hiyo tivii uliyoitaja,hata mimi nilimuona Aweda alipokuwa anachangia mada lakini hakuitaja ni tivii gani sasa wewe unakurupuka na kuanza kumshambulia inakuwaje?kajipange tena acha unazi wako.
   
 18. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mkuu mshauri huyo jamaa atafute jimbo la uchaguzi na kujipima mwenyewe.
  Up...pu ukizidi huwa unatabia ya ku-overflow.
   
 19. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini unaona kama ni kosa sana kwa TBC kushambuliwa? athari zake ni zipi? kuna - link yeyote kuwa mwanasiasa akiishambulia TBC atakufa kisiasa? mbona thread yako maswali ni mengi kuliko majibu? na wewe umetumwa na nani?
   
 20. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa kumsaidia Aweda kama ndio yenyewe tushajua.....
   
Loading...