Mijidume mingine vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mijidume mingine vipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by shee leo, Jun 28, 2012.

 1. s

  shee leo Senior Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani habari zenu?mwenzenu yamenikuta jumamosi iliyopita,MY X kampiga jamaa yangu kisa anadai mimi bado wake..Ilikuwa hvi huyu x aliondoka Tz mwaka 2003 kwenda Italy akaniaga anaenda South Africa kwa miezi 2,nilishangaa nakuja kuambiwa na kaka yake amekwenda Italy....nilisubiri mpaka 2005nikaamua kutomsubiri mtu ambaye sina mawasiliano nae,hvyo mwezi uliopita karudi akanitafuta ..ktk maongezi yake anadai bado mimi ni wake na akalaumu kwa nini nimemsaliti?kwa kweli nilimwambia kuwa mim nina mtu wangu akasema haelewi hilo na anataka kuja kujitambulisha kwetu anioe,..nilimkatalia nikimwambia ninamaisha mengne tofauti na hapo zamani mbaya zaidi akawa ang'ang'ania kwenda kulala na mimi ,nilimkatalia katakata kwa hlo akasema km simuamini basi tujipime..nilikataa.Tatizo limekuja weekend tulikuwa mahali na mpenz wangu tumejipumzisha huyo x wangu akaja na wapambe wake wakawa wamekaa wanatuangalia mimi nikamwambia mpenz wangu kuwa tuondoke,tulivyofika kwenye gari mara x wangu na wapambe wake wakafika x wangu akaanza kumuuliza kwa nini anachukua mke wa mtu?jamaa yangu alishangaa akamwambia mim mbona si mke wa mtu,basi x wangu akamjibu kuwa mim ni mke wake na asipoachana na mimi atamfundisha adabu,mim nikamwambia jamaa yangu aingie kwny gari tuondoke kweli tuliondoka wakt tupo njian nikamwambia yote kuhusu x wangu..2kaamua kwenda sehemu nyingine kusindikiza weekend ile tunafika hapo mara x wngu na watu wake wakapark magari yao mbele yetu jamaa yngu akashuka akauliza kwa nin wanatuletea fujo?niliona tu x wngu na wapambe wakianza kumpiga nikawa namwambia x wangu amuache akadai atamuacha mpaka nimrudie yeye,bahati nzur walifika watu kugombelezea x wangu akaondoka,jamaa yngu akaamua twende police huko nako wakatupa RB,jumatatu x wangu akakamatwa ila huwezi amini alitolewa siku hyo hyo,akanipigia simu anajidai eti anapesa hakuna anayeweza kumfunga ...sasa jamaa yngu namuonea huruma maana hana amani kwa sasa hata kule police wanatuzungusha wakidai eti sisi ndo tulianzisha ugomvi..nifanyeje jamaa yngu atembee kwa amani maana x wngu kaahidi kumfata mpaka kazini kwake.
   
 2. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Mwambie huyo jamaa yako akuoe kabisa kumaliza utata!
   
 3. m

  maswitule JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Wewe Kama mwanamke, usimpoteze huyo boyfriend wa sasa. Cha kufanya jifanye una mpa halafu mwambie mbona sioni utamu na wala haikolei ule muda anakaribia orgasm ataacha mwenyewe!
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hii safi sana.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Pole sana ..yaani kuna watu wagumu kuelewa
   
 6. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nakuomba sana uwe na msimamo na kamwe usiyumbe na uamuzi wako. Huyo x wako siyo mtu mzuri na amejaa ubabe na si mwaminifu ba mkweli. Unadhani pesa inaweza kununua mapenzi ya kweli. Mshamba sana na mapenzi Yake ya kizamani sana.

  Trust me huyo x wako Kama ukidanganyika kurudiana naye hakika ndoa hii itakuwa jehanam kwako. Kwanza utakuwa mtumwa kwenye hilo penzi na hutokuwa huru kufurahia ndoa yako. Naye ataona kuwa umemkubali kwa kuwa anahela.

  Kwanza kwa nini alikudanganya kuwa kaenda south kumbe kaenda Italy. Alikuwa anakuchukuliaje? Jaribu kumwonyesha huyo x wako kuwa uko smart kichwani kuliko yeye, na pia uko na msimamo tofauti na wanawake wengine wenye tamaa wanaopenda kubabaokia wenye pesa.

  Halafu jitahidi sana kuwa bega kwa bega na huyo jamaa yako wa sasa, hakikisha kuwa unakuwa karibu naye kuliko zamani, na kumhakikishia penzi lako la kweli kwake. Jaribuni kwenda kwa mwanasheria kuomba ushauri zaidi na pia ikiwezekana kufikiri kwenye kitua kingine manake police wetu nao ni wehu na waendekeza njaa zaidi kuliko utu.
   
 7. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  pole shosti, na mshukuru mungu sana huyu BF wako ni muelewa angekua mwanamme mwengine pasinge tosha na angekuwacha na yuho bwana wako, vuta subra na kwanini huyo X wako anajua kila sehemu unakotoka na huyo bwanako
  ulonae? kama umeshamueleza na hataki kukusikia ujue huyo bwana hana nia nzuri na wewe asikurushie ndege wako, yeye wala si mngoma mshauku tuu,mwambia huyu nikiwa nae kwenye ma lavi davi najionaa tajiriiiiiiiiiiiii sana wewe nilikua nasukuma siku2, wala machezo hujui hatokufata tena..
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  huyo x wako,hafai kabisa.hela zake zinampa jeuri,mwambie siku hizi kuna magazeti ya udaku,yanaweza yakamuumbua.na polisi ya kwetu kwa kupenda rushwa,inasikitisha kwa kweli.uwe karibu sana na mpenzi wako
   
 9. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,225
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  italy=unga wa sembe...usije letewa majambazi bureee wakaku -ulimboka
   
 10. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mapenzi si Pesa wala Mapenzi si Nguvu hivyo mwambie huyo X wako pesa zisimpe kiburi.
  Inaelekea X wako ana mapenzi ya kiubabe au Madawa yana msumbua.
   
 11. Madago

  Madago Senior Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pole sana, unazungumzia maisha yako na ya current man na yako hatarini na lolote laweza tokea. Kibaya zaidi police wameprove failure. Kulinda maisha yenu na watoto wenu wa baadae chukueni tahadhari, tembeeni na silaha, hata pepa spray, ila hasa bastola ikiwezekana, for self defence.
   
 12. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Kama wameufanyi hivyo mti mbichi, unadhani itakuwaje kwa mti mkavu? Jifikirie mara mbili kabla hujamuwazia lolote huyo mshamba aliyetoka Italia
   
 13. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  try paraphrasing next time, it helps a lot. wall of texts are annoying to read.
  on topic: potezea huyo X. 2yrs without contact haikubaliki.
   
 14. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Dada uyo x muwekee chenga chenga kabisaa!He isnt a good person
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Unahangaika na teja
   
 16. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Take a break from your current relationship, au fanyeni hayo mahusiano kuwa ya siri sana. Mwambie huyo x wako kwamba umeachwa na your current fiancee...Fix your mess. Anza na kuzungumza naye clearly na logicaly kwamba alikuacha for 2years bila mawasiliano kisha alikudanganya! So mwambie huwezi ishi na such a person ili ajue alichokosa na ajirekebishe kama anataka...Hii itamtoa mchumba wako kwenye matatizo for now. I think x baada ya muda atagrow out of love then mnaendelea na current.
   
 17. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kazi unayo.Kama mna RB nendeni kwa kamanda wa Polisi wa mkoa, Naamini huyo jamaa hana uwezo wa kuhonga kila mtu.
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa wako nae king'ang'anizi sana kwanini asimuachie tu huyo x wako.

  Hizi dhama sio za kupigwa na kutolwa viungo bure kisa mwanamke. Mshauri akuache uendelee na huyo x anakupenda sana.

  Sidhani kama huyo jamaa uliyonae angeweza kukupigania kama x wako.

  Shukuru mungu kweli huyo jamaa wako ana moyo mgumu kama wa chuma, yan anaapigwa bado yupo tu.
   
 19. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  pole ndio dunia
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Siku hizi kila kitu ni sanaa hata mapenzi ni sanaa tupu! Mwanamke anaona fahari kugonganisha ,wanaume hawana wivu kugombea vitu vilivyojaa!
  Angalau huyo anaefanya fujo ametangaza ndowa jee huyo unaemwita jamaa yako yuko tayari kwa ndowa?
   
Loading...