Miji yetu iwe na hati miliki wachina wasiikopi, angalia walivyokopi miji ya London na Paris na kujenga China

Mji upi huo kwenu mtu atacopy nini,hilo jengo lenu lumumba halina tofauti na banda la kuku,labda wakopi chattle ndio kijiji chenye trafficlight wanavuka punda na mikokoteni
 
Wachina hawajambo kwa ku copy na ku paste ona walivyo copy na ku paste miji ya London na Paris na kuijenga kwao.

Miji gani unaozungumzia wakati tangu tupate Uhuru hakuna mji wowote tuliouanzisha hii mikubwa yote ilianzisha na wakoloni na Kwa kukopi Ramani za miji ya ulaya na ambapo hawakuimalisha tukawafukuza (kudai Uhuru) ambapo tusingewafukuza ingekuwa ya Kisasa na iliyopangika kuliko sasa.Hivo hata tukiwa na hati miliki bado wanaweza wakaenda London archive watapata ramani ya mji wowote wa koloni La muingereza.Labda wakopi mitaa yetu ya uswazi,nyumba,bar,kanisa,msikiti,madambo ya taka,makaburi kila kitu akipo kwenye mpangilio.Then waseme hii ni third world.
 
Mji upi huo kwenu mtu atacopy nini,hilo jengo lenu lumumba halina tofauti na banda la kuku,labda wakopi chattle ndio kijiji chenye trafficlight wanavuka punda na mikokoteni
Viongozi wa CHADEMA watafute hatimiliki haraka za hili jengo wachina wasije copy

makao%2Bmakuu.jpg
 
Viongozi wa CHADEMA watafute hatimiliki haraka za hili jengo wachina wasije copy

makao%2Bmakuu.jpg
Heri wao mali zote za ccm wameiba kwa watanzania hawajawahi kujenga kwa hela ya chama,ndio mana mnapata laana ya kua na michicha mwiba,uvccm vijana wengi ni michicha mwiba
0ecc62eec4ed4ce32477ac33b54feca5.jpg
 
Back
Top Bottom