Mijadala ya Tundu Lissu na porojo zake zinawapotezea muda baadhi watanzania kuwajibika

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Nakumbuka sana wakati ule kabla ya tarehe 26 April 2018 ambayo ni sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar kulikuwa na taarifa nyingi sana za maandilizi ya maandamano ndani na nje ya nchi yakishawishiwa na kuratibiwa na mwanadada Mange Kimambi wa huko Marekani.

Watu wengi na hasa vijana walikuwa busy sana na mitandao kiasi cha kupunguza sana kwa wengi kufanya kazi kwa ufanisi badala yake ni kujua Mange amesema nini leo

Hali naona inajirudia kwa tena baada ya Mhe Tundu Lissu kuanza ziara zake na kuongea na watanzania wa nchi mbalimbali ingawa mpaka sasa ameongea na wanaoishi Marekani tu lakini kila mtandao ukifungua kuna taarifa za Tundu Lissu na majibizano mengi na mijadala mingi inaanzishwa na hivyo kufanya wengi makazini kupunguza ufanisi nwa utendaji wao hiyo ni automatic wala haiitaji formula kujua.

Muda ambao mfanyakazi au mfanyabiashra au hata mimi kutumika kuandika kuhusu Lissu kunapunguza muda wa kufanya kazi yangu kwa viwango vinavyokubalika na hivyo uzalishaji kupungua automatic.

Ifike mahali watz tutambue kuwa wakati ni mali.

Sitaandika tena kuhusu Lissu wala kuchangia mada inayomuhusu
 
Ila wakiandika kumsifia jiwe ni sawa. Maana ilisemekana bunge likiwa live watu hawafanyi kazi, lakini mkulu daily Yuko mubashara na inaonekana ni sawa. Ile nguvu ya kupumbaza watu kupitia mwenge wa uhuru imeisha expire. Subiri siku mtu aliyechangia jf alete familia yake kwako kuwalisha uwanyime chakula.
 
Well said mkuu mada za Lisu zimekuwa nyingi hadi zimekuwa monotonous, sisemi alichafanyiwa ni kizuri au anachofanya ni kibaya la hasha bali ifike kipindi tuache emotions na miemko yetu katika mambo ya kijamii, tumekuwa kama wajinga kuendekeza propaganda tu za majukwaani, hata siasa hatujui.
 
kabisa monotonous na anaweza kuchuja haraka sana
 
Kitendo cha risasi 38 siyo propaganda bali ushetani wa hali ya juu. Na ni mashetani tu wataona kelele, vilio vyetu na maumivu ni mambo ya kipuuzi au yanachosha

Justice for Lissu, nyie kama mmechoka imbeni nyimbo za CCM au angalieni channel ya Musiba YouTube mburudike naye pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka sana wakati ule kabla ya tarehe 26 April 2018 ambayo ni sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar kulikuwa na taarifa nyingi sana za maandilizi ya maandamano ndani na nje ya nchi yakishawishiwa na kuratibiwa na mwanadada Mange Kimambi wa huko Marekani.

Watu wengi na hasa vijana walikuwa busy sana na mitandao kiasi cha kupunguza sana kwa wengi kufanya kazi kwa ufanisi badala yake ni kujua Mange amesema nini leo

Hali naona inajirudia kwa tena baada ya Mhe Tundu Lissu kuanza ziara zake na kuongea na watanzania wa nchi mbalimbali ingawa mpaka sasa ameongea na wanaoishi Marekani tu lakini kila mtandao ukifungua kuna taarifa za Tundu Lissu na majibizano mengi na mijadala mingi inaanzishwa na hivyo kufanya wengi makazini kupunguza ufanisi nwa utendaji wao hiyo ni automatic wala haiitaji formula kujua.

Muda ambao mfanyakazi au mfanyabiashra au hata mimi kutumika kuandika kuhusu Lissu kunapunguza muda wa kufanya kazi yangu kwa viwango vinavyokubalika na hivyo uzalishaji kupungua automatic.

Ifike mahali watz tutambue kuwa wakati ni mali.

Sitaandika tena kuhusu Lissu wala kuchangia mada inayomuhusu
Zima data, pofusha macho, jitoe JF, au bakia unaangalia TBC na Cyprian Musiba channel ufurahie.

Anayekwazika na masononeko ya mpendwa wetu kuumizwa ni shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu kamaliza Silaha zote Kabla ya Vita

Hajui kabisa mikakati ya Kisiasa

Akirudi ataongea jambo gani jipya ambalo hajaongea

Nahisi Tayari Lissu kazungukwa Na Watu wa Mfumo ambae anadhan Ni Wanaharakati wenzie wakam pump nae aka pumpika kuanza kuzunguka bila ya strategy!

Kawahi 'kuingiza' Timu uwanjan kabla ya Siku ya Mechi
 
Nakumbuka sana wakati ule kabla ya tarehe 26 April 2018 ambayo ni sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar kulikuwa na taarifa nyingi sana za maandilizi ya maandamano ndani na nje ya nchi yakishawishiwa na kuratibiwa na mwanadada Mange Kimambi wa huko Marekani.

Watu wengi na hasa vijana walikuwa busy sana na mitandao kiasi cha kupunguza sana kwa wengi kufanya kazi kwa ufanisi badala yake ni kujua Mange amesema nini leo

Hali naona inajirudia kwa tena baada ya Mhe Tundu Lissu kuanza ziara zake na kuongea na watanzania wa nchi mbalimbali ingawa mpaka sasa ameongea na wanaoishi Marekani tu lakini kila mtandao ukifungua kuna taarifa za Tundu Lissu na majibizano mengi na mijadala mingi inaanzishwa na hivyo kufanya wengi makazini kupunguza ufanisi nwa utendaji wao hiyo ni automatic wala haiitaji formula kujua.

Muda ambao mfanyakazi au mfanyabiashra au hata mimi kutumika kuandika kuhusu Lissu kunapunguza muda wa kufanya kazi yangu kwa viwango vinavyokubalika na hivyo uzalishaji kupungua automatic.

Ifike mahali watz tutambue kuwa wakati ni mali.

Sitaandika tena kuhusu Lissu wala kuchangia mada inayomuhusu
Watu wengine sijui mkoje,ni faida gani mnaipata binadamu mwenzenu anapoumia kwa risasi 38,hebu kuweni na Moyo wakibinadamu.
 
Nakumbuka sana wakati ule kabla ya tarehe 26 April 2018 ambayo ni sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar kulikuwa na taarifa nyingi sana za maandilizi ya maandamano ndani na nje ya nchi yakishawishiwa na kuratibiwa na mwanadada Mange Kimambi wa huko Marekani.

Watu wengi na hasa vijana walikuwa busy sana na mitandao kiasi cha kupunguza sana kwa wengi kufanya kazi kwa ufanisi badala yake ni kujua Mange amesema nini leo

Hali naona inajirudia kwa tena baada ya Mhe Tundu Lissu kuanza ziara zake na kuongea na watanzania wa nchi mbalimbali ingawa mpaka sasa ameongea na wanaoishi Marekani tu lakini kila mtandao ukifungua kuna taarifa za Tundu Lissu na majibizano mengi na mijadala mingi inaanzishwa na hivyo kufanya wengi makazini kupunguza ufanisi nwa utendaji wao hiyo ni automatic wala haiitaji formula kujua.

Muda ambao mfanyakazi au mfanyabiashra au hata mimi kutumika kuandika kuhusu Lissu kunapunguza muda wa kufanya kazi yangu kwa viwango vinavyokubalika na hivyo uzalishaji kupungua automatic.

Ifike mahali watz tutambue kuwa wakati ni mali.

Sitaandika tena kuhusu Lissu wala kuchangia mada inayomuhusu
mkuu kama kumsikia lisu unateseka kamwe huwezi kukaa kimya!!ndio maana unaona jinsi MGAMBO WANAVYOLUKA NA KUKANYAGANA!!!
 
Lissu kamaliza Silaha zote Kabla ya Vita

Hajui kabisa mikakati ya Kisiasa

Akirudi ataongea jambo gani jipya ambalo hajaongea

Nahisi Tayari Lissu kazungukwa Na Watu wa Mfumo ambae anadhan Ni Wanaharakati wenzie wakam pump nae aka pumpika kuanza kuzunguka bila ya strategy!

Kawahi 'kuingiza' Timu uwanjan kabla ya Siku ya Mechi
Si ndio mngefurahi sasa!
Tunawashangaa mnavyoweweseka!!!
 
Mtoa mada unateseka nini?eti unasema hata wewe mda wako unapotea kuandika ya lisu?Sasa kinachokuwasha kuleta mada mbili mbili kuhusu lisu ni nini?fanya yako sasa uachane na huyo lisu.wauaji wakubwa nyinyi?
 
Kitendo cha risasi 38 siyo propaganda bali ushetani wa hali ya juu. Na ni mashetani tu wataona kelele, vilio vyetu na maumivu ni mambo ya kipuuzi au yanachosha

Justice for Lissu, nyie kama mmechoka imbeni nyimbo za CCM au angalieni channel ya Musiba YouTube mburudike naye pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaah kila MTU na kipenda roho chake . yeye amemkabizi msiba moyo wake pamoja na jiwe aendelee burudika awaache wengine mbona tunaingiliana Uhuru bana
 
kabisa monotonous na anaweza kuchuja haraka sana

Kwa bahati mbaya Lissu hachuji. Toka nimemfahamu kabla ya kuwa mbunge yuko hivyo hivyo, na baada ya kuwa mbunge ndio Kawa bora zaidi. Ni kama mvinyo wa kiskoch, kila unavyokaa ndio unakuwa bora zaidi. Na huu upuuzi wa kumpiga risasi ndio umempandisha zaidi.

Usisubiri achuje, bali waambie serekali na ccm wafanye kila wawezalo asipate nafasi ya kugombea urais dhidi ya Magufuli kwani atapata tabu sana. Kilichomkuta JK uchaguzi wa 2010 dhidi ya Slaa itakuwa ni cha mtoto. Magufuli hana ushawishi wa kisiasa zaidi ya madaraka ya urais, Lissu ana mvuto na ushawishi wa kisiasa, wasiwasi wangu tofauti yao itawaingia washabiki wao. Kitakachotokea ni mgawanyiko mkubwa wa taifa kwani ccm bila wizi wa kura haitoboi, je Lissu atakubali kuunyamazi wizi huo wa kura bila kuamrisha wafusi wake?
 
Back
Top Bottom