Asante ni wazo zurMkuu anzisha biashara ya kuunza nguo za watoto na kina mama kama mitandio n.k itakuboost kwenye mtaji
NB. ni ushauri tu
Embu fafanua zaidi.Jamaa jiusishe na biashara za uuzaji Wa vifaa vya electronic like laptops na simu utafurai mwenyewe iyo pesa inatosha sana mengine jiongeze
MKUU SIO MBAYA UKITUPA MREJESHO ITASAIDIA MNONimebahatika kupata dhahabu nimeuza nikapata 25 million za kitanzania sijawahi kumiliki pesa nyingi kama hiyo hivo kwa kuhofia kulewa pesa nimeituliza bank sijajuwa nini nifanye ili niuage uchimba chumvi naombeni mawazo wakuu
Nawasilisha
,,,Embu fafanua zaidi.
Hahaa mshenzi sana HuyoHunipendi kweli yani nikatapeliwe huku najionea mwenyewe nyooo!
Kuchimba dhahabu kwa mikono ni zaidi ya mateso asikwambie mtuKaka kuchimba dhahabu kusikie tu hii kazi siyo ya sport sport nimefanya hiyo kwa miaka 5 sija fanikiwa mkuu isipokwa nilikuwa nikipata visent vya kula tu
Sasa ikatokea boss mmoja kaniamini nikawa na mnunulia hivo faida yangu nikawa na weka dhahabu mpaka kufikia hatua hii niliyo fikia sasa nahitaji kubadirisha upepo na mimi ng'ae
Kuchimba dhahabu kwa mikono ni zaidi ya mateso asikwambie mtu
Natafuta unit yoyote ambayo inatoa mikopo kwa mjasiriamali na mwajiriwa msaada tafadhaliModerator asante kwa kuturahisishia kazi
kuna bank na taasisi mbalimbali za mikopo kama vile nufaika, tujijenge, tunakopesha ltd, platnum credit n.kNatafuta unit yoyote ambayo inatoa mikopo kwa mjasiriamali na mwajiriwa msaada tafadhali
Asante mkuukuna bank na taasisi mbalimbali za mikopo kama vile nufaika, tujijenge, tunakopesha ltd, platnum credit n.k
Asante kwa wazosaga juice safi ya matunda...mtafte mdada wa kusambaza juice madukani,ofisini,gereji n,k,,,,,
pia waweza katakata matunda mchanganyiko ukaweka kwenye vibakuli flani vya plastick unasambaza mzigo,,,,,
Biashara ni uvumulivu,ubunifu pia jitahidi sanasana kuzingatia usafi
Sent using Jamii Forums mobile app