carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,466
- 285,327
pole ngoja niwaache mmalizaneUsinikumbushe machungu!
pole ngoja niwaache mmalizaneUsinikumbushe machungu!
Kwa kosa gan??? Wee km ni mjasiliamali mshaur mtoa mada.
Muamala kama ule wa @Thad?
Ujue hata mimi nakuelewa sana, tatizo hapo tu yani, hapo. Hapo kwenye roho mbaya hapo, hivi bado unashikilia uenyekiti wa kamati ya team roho mbaya?
Hapana ngoja waje watu wazima walitolee ufafanuzi hili.Macho yako tu
Eti wazee labda nimezeeka au sioni hapo naona Title mrejesho.
huku kwa chini naona Mtaji. Ni macho yangu au ndiyo uhalisia???
hahaha... Haya mapenzi ya kupendana hadi yanampoteza mwandika uzi jukwaa, mada na maudui sio ya mchezo mchezo bhana.Jemedari hata wewe mzee wa intelijensia umetoka kapa? Mwanzoni nilifikiri uzi umenizidi kimo, ila naona ni kinyume chake. Mzima swahiba?
wewe unajua kinachoendelea ndiyo maana unacheka.
Basi hadi hapa tumeshaelewana.
Ila sijui kama nitajivua uenyekiti wa kamati siwezi saliti team bhana lol!
shemu nilitaka umpe big up na sio kingineKhaa!!
Mimi zaidiNimekuhamu
Stephen Audax MwasabambaJaman nina lak 5 je nifanye biashara gani