Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Basi hadi hapa tumeshaelewana.
Ila sijui kama nitajivua uenyekiti wa kamati siwezi saliti team bhana lol!
Ujue hata mimi nakuelewa sana, tatizo hapo tu yani, hapo. Hapo kwenye roho mbaya hapo, hivi bado unashikilia uenyekiti wa kamati ya team roho mbaya?
 
Eti wazee labda nimezeeka au sioni hapo naona Title mrejesho.

huku kwa chini naona Mtaji. Ni macho yangu au ndiyo uhalisia???

Jemedari hata wewe mzee wa intelijensia umetoka kapa? Mwanzoni nilifikiri uzi umenizidi kimo, ila naona ni kinyume chake. Mzima swahiba?
 
Jemedari hata wewe mzee wa intelijensia umetoka kapa? Mwanzoni nilifikiri uzi umenizidi kimo, ila naona ni kinyume chake. Mzima swahiba?
hahaha... Haya mapenzi ya kupendana hadi yanampoteza mwandika uzi jukwaa, mada na maudui sio ya mchezo mchezo bhana.

JF inakua kwa kasi...ila mwili tu.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom