carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,421
- 285,173
NimekuhamuMkuu ukiwa na ID kadhaa, zitumie vizuri basi kwa manufaa yako na wala isiwe usumbufu kwa wengine humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimekuhamuMkuu ukiwa na ID kadhaa, zitumie vizuri basi kwa manufaa yako na wala isiwe usumbufu kwa wengine humu
Ndio maana nikampa jibu jepesi....
Maana hakuna atakayemuuliza ...ni Siri yake na Mungu wake.
Nasubiri ile ahadi yako ujue?Naumia mie Samaritan
Nasubiri ile ahadi yako ujue?
Ipi tena? Naona unataka kuchafua hali ya hewa.
Mbona umeanza kuogopa?
Nasubiri new id niidondokee
Hahahaaa si ndio hii iliyoanzisha huu uzi?
Maumivu yakizidi muone daktariKho! Kho! Kho!
Usilie gizani kwa kumuogopa jirani, ukiona utoto kama huu unaupuuza na kusonga mbeleNaona kabisaaa ule muda wa kujiweka pembeni JF unawadia.
Bila shaka watalifanyia kazi
Nasubiri nyingine si hii
Usilie gizani kwa kumuogopa jirani, ukiona utoto kama huu unaupuuza na kusonga mbele
mpe basi?Nimekuhamu
Sasa kama ulishanielewa ID mpya ya nini tena? Au unataka kunipiga muamala feki?
mpe basi?
Maumivu yakizidi muone daktari
Usinikumbushe machungu!Muamala kama ule wa @Thad?