Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Hawa jamaa wa alliance global si watu watu wazuri fanya biashara na mtu unayemjua vinginevyo utalia bure
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeshajaribu kufanya biashara tofauti tofauti,nilikuwa na mtaji mkubwa sasa naona unazidi kuporomoka na sijawahi acha kulipa kodi, kwa sasa naona nimebakiwa na hako ka m1 pekee akili inataka kuniruka nifanye biashara gani ili niweze kuhudumia familia?
Yani kama mimi mkuu
 
Jamani Wakuu mi nikijana wa miaka 24 Nipo njia panda nimewaza sana bila Majibu nahisi kukata tamaa kwa malengo yangu niliyo jiwekea Ila bado na matumaini na leo matumaini yangu yataongezeka kwa msaada wenu nina mtaji wa 400,000-700,000 Tafadharini mnielekeze NIFANYE BIASHARA GANI kwa mtaji huo apo.
 
upo mkoa gani
 
Jamaa jiusishe na biashara za uuzaji Wa vifaa vya electronic like laptops na simu utafurai mwenyewe iyo pesa inatosha sana mengine jiongeze
 
Mkuu Mimi Niko huko Niko huko
Nafurahia sana kuwa huko maana nimeishaanza kupata faida. Nilifanya kazi ya kuleta watu wawili tu lakini sasa nina timu kubwa iliyotokana na hao watu.
Biashara yangu inazidi kukua kuja kufika mwezi wa nane nategemea nitakuwa na timu ya watu 2000 wote hao watakuwa wananifanyia kazi.
Hongera yako tajiri.Ila hiyo biashara sijui ina nini maana wengi wenu Huwa wanachoka balaaa
 
Huwezi ukakosa watu hata kama huna uwezo wa kushawishi watu kampuni ina.mfumo wa wajuu kumwekea mtu, wa chini yako kwa hiyo hata kama huna uwezo wa kushawishi watu sio rahisi kukosa watu
Hudhuria semina ujionee watu wanaoingiza 7mil / siku
Milioni 7 Kwa siku naona kama ni uongo kama wapo Basi ni 1/100
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom