Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi

habar! naomba nisaidiwe nina ndugu yangu ni mjamzito and anatatizo pia la PId ameshatumia dawa nyingi shida hiyo haijatoka, je kuna uwezekano kiumbe kikakua mpaka mwisho? na kama kuna soln yoyote tunaomba msaada wenu
Ukishasema ana PID means ni complication zenye uwezekano wa 80% za kumuweka mtoto kwenye hatar. Badili helth facility hilo tatzo linatatulika mshauri ndugu yako.
 
Habari?

Mimi ni mwanaume nina tatizo nikijikuna sehemu tofauti za mwili napata michirizi yenye viuvimbe ambayo kama vinavilia damu halafu baada ya muda vinapotea hata sometimes nikijifuta na taulo baada ya kuoga vinatokea kisha vinapotea. nimetumia dawa za minyoo na allergies lakini siponi, mfano nikimeza vidonge vya allergies miwasho na michirizi haitokei labda hata mwezi kisha hurudi tena, hii hali inanisumbua, sometimes unakuta nawashwa ila nikioga tu inatulia, nilienda kupima ngozi dokta akaniambia ishu nimuone daktari wa damu unfortunately sijapata appointment nae.

Wataalamu nifanyeje?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom