Ile miswada yote ya madini ambayo ilipelekwa bungeni na kupitishwa kwa hati ya dharula wakati Mh. Simbachawene akiwa waziri wa nishati na madini ilifanywa hivyo kuwahi sahihi ya rais wa awamu ile maana ingechelewa huyu rais isingekubali kutia sahihi.
Watu walikuwa wanajiuliza bunge linakaa mpaka saa sita usiku kujadili miswada ya dharula inayohusu madini na saa ingine ilikuwa inapitishwa na wabunge 50 haraka ilikuwa ni ya nini? Wanabodi wengine watakumbuka mpaka mbunge Tundu Lissu alihoji haraka ya nini? Si mwache kwanza tukasome tuelewe kilichomo ndani akaambiwa kaa wewe ni mpinzani. Kumbe wenzio walitaka ipite haraka haraka ikatiwe sahihi iwe sheria wakijua wazi kabisa kuchelewa kupita awamu hii ingekuwa kikwazo kitiwa sahihi miswada kama ile.
Wanabodi ile miswada ya madini bunge la 10 mwishoni iliyokuwa inajadiliwa saa 1 tu na kupitishwa kwa kauli ya ndiyooooooooooooo, ilikuwa inafanywa hivyo kuwahi sahihi ya rais wa awamu ya nne, Rais wa awamu hii isingetia sahihi miswada ile maana kilichokuwa ndani kinafanana kabisa na mchanga kusafirishwa nje imebainika , maana watu wengi walijiuliza dharula ya nini? Kitu chenyewe madini? Ni SAHIHI ILIYOKUWA INATAFUTWA MBUNGE MMOJA WA CCM AMETOA SIRI.