Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Toka lini server yako inajaa.. ingekuwa inajaa si ungeacha tabia yako ya ushga
Mbona sasa unachelewa kulog off?! Toka humu huna faida,rudi huko fasibuku kwa vitoto vyenzio ukaendelee kulike madela na mitindo ya nywele.
 
  • Thanks
Reactions: VMD
Ofcoz nimeelewa pia ahsante sana kwa hili, ila mi huwa nahisi kuna baadh ya watu wakiweka aina flani ya uzi wenye hoja flan flani unakubalika na kupitiswa lakini watu wengine inakua vice versa du
 
Ahsanteni sana!! Nakili kwamba nilikuwa sizijui sheria hizi kabla. Aghalabu ningetumia JF "against these rules" bila kujua. Ahsante sana kwa kazi nzuri hii!!
 
Hongereni kwa kujua baadhi ya ufutaji wa topic wana JF wengine hatuuelewi ndo maana hamuuelewi ,wahenga husema kabla ya anguko huanza kiburi.

sitaki kuhukumu nisiyoyakubali yaliyopita kwa mwingi 85% wa mema yenu ,kuanzia kutujengea jukwaa la kutema nyuki zetu ,naomba nihoji sasa?
- Je moderators ni gold standard kuzidi wajumbe ?
-Je ni sahihi kufuta uzi bila kujadiliana na mtuhumiwa (natural justice) ? nakubaliana na kusitisha kwa muda kupata ufafanuzi maana waandindishi wengi wamewazidi weledi wa wanachoandika
-Je mmejikagua kwa nini ufutaji huo majority ni jukwaa la siasa na celebrity?
-Je kwa nini mmezuia FURTHER REPLIES za uzi huo ,Je mnahulka ya kutopenda kusumbuliwa na ukweli msio upenda ya baadhi ya wajumbe wasumbufu? au mnawatu wachache wao nireputable kuliko wengine ambao wakiwahi kucomment ule wetu tutaofanya FURTHER REPLY.

Kama nakaona ka suspension kwa mbali au kufutwa uzi wa kutosikia the other side.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom