jem_the_great JF-Expert Member Aug 30, 2013 289 158 Dec 13, 2013 #1 Jaman hii biashara ya Mihogo mibichi naona imesheheni sana jijini dar kwa sasa!!!kulikoni wadau atiii!!!!!?
Jaman hii biashara ya Mihogo mibichi naona imesheheni sana jijini dar kwa sasa!!!kulikoni wadau atiii!!!!!?
chaUkucha JF-Expert Member May 28, 2012 3,382 1,208 Dec 13, 2013 #4 si inatumika kwa biashara ya miogo ya kukaanga.
Angel Nylon JF-Expert Member Jul 26, 2011 8,318 16,483 Dec 13, 2013 #5 Chaukucha said: si inatumika kwa biashara ya miogo ya kukaanga. Click to expand... Mihogo mibichi yauzwa kwa chumvi na pilipili. Acha ile ya kukaanga au kuchoma
Chaukucha said: si inatumika kwa biashara ya miogo ya kukaanga. Click to expand... Mihogo mibichi yauzwa kwa chumvi na pilipili. Acha ile ya kukaanga au kuchoma