Mihogo Kwa Kachumbari-Dawa ya Nguvu za Kiume na Kike

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
nimegundua kumbe nguvu za kiume ni tafsiri tu ....hata ukila wanga unaongeza nguvu
12512582_1496219794018240_2391044353503180156_n.jpg
 
Kila siku uvumbuzi uvumbuzi.
Mayai ya kwale, watu mkakurupuka na wengine kukopa kufuga hao wadudu, kisa yanasaidia waishio na HIV, leo sisikii tena kelele kuhusiana na kwale/mayai.

Bali mmekuja na mihogo+kachumbali ukizingatia ndio mwanzo wa mwaka, sijui mpaka June mtaleta ugunduzi wa MENO YA MJUSI ni dawa ya ....!
 
kiboko ya dawa zote unga wa meno ya tembo unachanganya na unga pembe la kifaru.nakwambia unaanzisha clinic ya kuwafanya wasiofika kileleni
 
Tumia Kinyesi Cha Kobe Na Upate Na Chai ya Moto ; Kaa Kwa Saa Moja then twende Kazi. Nakwambia Lazima Mtu Utakimbie na Akijidanganya

Kukomaa Utaua. Kiti mtu ,Mkuki wa Kimasai.
 
kiboko ya dawa zote unga wa meno ya tembo unachanganya na unga pembe la kifaru.nakwambia unaanzisha clinic ya kuwafanya wasiofika kileleni
Aiseee, unajua nilikuwa sijui matumizi ya pembe za ndovu pamoja na tembo wetu kuuwawa sana, kumbe ni dawa ya nzakali iliyo doro.
 
Back
Top Bottom