Mihogo inauzwa

Huko Tanga si tumeambiwa kuwa wachina wamejenga kiwanda Cha kuongeza thamani muhogo? Kwanini usitafute hao wachina uwauzie mkuu?

Au wachina wamejenga kiwanda Cha kuchakata 'Muhogo' tofauti na hii miogo mingine au????

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom