Mihimili MITATU ya SERIKALI

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2008
Messages
680
Likes
10
Points
35

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2008
680 10 35
1. Serikali Kuu, Chini ya Rais
2. Mahakama Chini ya Jaji Mkuu
3. Bunge Chini ya Spika

Je kuna implication gani kama chama cha siasa chenye viti bungeni kikikataa kumkubali au kumtambua Rais wa nchi aliyeapishwa kikatiba kuongoza nchi, na

Nini kazi ya:-

Serikali kuu Chini ya Rais
Mahakama chini ya Jaji Mkuu
Bunge Chini ya Spika

Wasalaam
BNN
 

Forum statistics

Threads 1,203,568
Members 456,842
Posts 28,119,489