Mihadhara(mikutano) mikubwa hapa Tanzania.

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Nimetafakari sana kuhusu mikutano mikubwa inayopendwa na watu wengi tanzania ni
1.MIKUTANO YA CHADEMA
2.MIKUTANO YA KIKRISTU
3.KONGAMANO ZA KIISLAMU
4.MIKUTANO YA KIMILA
5.MIKUTANO YA CCM....CCM imekosa mvuto katika mikutano yao mpaka wanaamua kukodi watu ili tu kuongeza idadi ya watu katika mikutano yao..

Nawasilisha
 
mpaka gamba litakapovuliwa na watakapoacha kusafirisha pembe za tembo,
 
yaani kweli umetafakari sana ndugu pole kwa tafakari hili
 
Back
Top Bottom