Miguu kuwaka moto visigino kwa mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miguu kuwaka moto visigino kwa mtoto

Discussion in 'JF Doctor' started by mande, May 5, 2009.

 1. m

  mande Member

  #1
  May 5, 2009
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima mbele!wajameni nina shida!naamini kabisa huku jamvini kuna wataalamu waliobobea!mimi kijana wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi minne!ana uzito wa Kg 11,tatizo lake lipo kama ifuatavyo!

  Huwa hana tatizo lolote ila ikifika mida ya usiku miguu yake visigino vinakua vya moto si kawaida!nilimpeleka hospital dokta akasema labda ni UTI au ni malaria,tukachek malaria hana kirus cha malaria hata!na huwa hana homa hata ila ni visigino tu ndio vinakua vya moto!naombeni sana wandugu mnijuze hili ni tatizo gani na dawa yake ni nini?

  Asanteni
   
 2. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu vipi ulishapata majibu kwenye hili? Nauliza hivyo kwani nini mdogo wangu naye kaniuliza juu ya mtoto wake kuwa na tatizo kama hilo nikakumbuka kuwa niliwahi kuona swali kama hili hapa Jf. Naungana nawe kuomba anayeweza kutuhabarisha afanye hivyo tafadhali ama kama ulishapata ufumbuzi unijuze pia.
   
Loading...