Lover boi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 316
- 431
- Thread starter
- #21
SawaNenda Hospitali kapime damu full Blood Picture itaonyesha maradhi yako chanzo chake huenda una upungufu wa madini na Vitamin mwilini mwako. Na pia usikose kupima figo wanapima kwa kuchukuwa kipimo cha mkojo wako. Huenda pia unayo asidi nyingi mwilini Asidi ikizidi mwilini inasababisha hayo maradhi pia. Kamalize Vipimo vya hospitali kisha uje hapa utupe mrejesho wako wamekwambiaje? Ikiwa wamesema hauna matatizo yoyote utanitafuta kwa wakati wako ili nipate kukutibia utakuwa unayo maradhi mengine ambayo hayaonekani kwa vipimo vya hospitali.
HOW ACID FOODS AFFECT THE BODY
View attachment 1921536