Miguu kuchoka mapajani, kuwaka moto na vidonge kufa ganzi

Lover boi

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
316
431
Habarini !

Nina tatizo la miguu kuchoka sehem za mapajani hasa nikiwa natembea eneo lenye mwinuko.

Vidole vyote vya miguuni kama vile vimekufa ganzi nahisi kama nimevaa soksi.

Mwanzo miguu ilianza kwa kuwaka moto sehem ya chini ya miguu baada ya hapo kufa ganzi na kuchoka Kwa miguu kulifata.

Naomba kujua chanzo na tiba yake nilienda hospitali nikapewa dawa za kupunguza maumivu ila hakuna matokeo chanya.

Kwa mtazamo wangu nahisi dozi ya macho na masikio nazo zinaweza kuwa chanzo ila sina uhakika kivile.

Asanteni
 
NEURORUBINE_forte hilo ndio jina Lake. Nilikunywa kidonge kimoja miguu ikawa poa. Nilikuwa siwezi tembea mrefu nakuwa nahisi uchovu kupitiliza au siwezi simama mda mrefu nachoka kuanzia mapajani kushuka chini.
 
Helo. Hilo. La miguu mimi pia lilinipata mwezi na nusu uliopita. Nikaenda zahanati wakaniandikia dawa ya maumivu nimesahau jina ila inaanza na Neno neural..... Something sikumbuki vizuri. Ngoja nitafute
Ilikusaidia?
Mimi nna babu yangu hivi tunavyoongea anapiga kelele miguu kuwaka moto kama ilikusaidia hiyo dawa chonde chonde naomba jina tujaribu..
 
Peripheral neuropathy bila shaka.

Vitamin B supplements zitakuhusu au una kisukari?
 
Habarini !

Nina tatizo la miguu kuchoka sehem za mapajani hasa nikiwa natembea eneo lenye mwinuko.

Vidole vyote vya miguuni kama vile vimekufa ganzi nahisi kama nimevaa soksi.

Mwanzo miguu ilianza kwa kuwaka moto sehem ya chini ya miguu baada ya hapo kufa ganzi na kuchoka Kwa miguu kulifata.

Naomba kujua chanzo na tiba yake nilienda hospitali nikapewa dawa za kupunguza maumivu ila hakuna matokeo chanya.

Kwa mtazamo wangu nahisi dozi ya macho na masikio nazo zinaweza kuwa chanzo ila sina uhakika kivile.

Asanteni
Pole Sana mkuu!
Kapime;

1) RBG/FBG
2) Uric Acid
3) Rheumatoid factor
4) Burucella test
5) CRP
6) BP

Ukipima leta mrejesho tuumalize mchezo!
 
Helo. Hilo. La miguu mimi pia lilinipata mwezi na nusu uliopita. Nikaenda zahanati wakaniandikia dawa ya maumivu nimesahau jina ila inaanza na Neno neural..... Something sikumbuki vizuri. Ngoja nitafute
Nadhani unaongelea Neurol support (supplement) ambayo ndiyo hutumika sana
 
Yeah nimeiandika hapo juu. Nilikunywa kidonge kimoja tu ikapoa. Nilipima kila kitu nilikuwa poa. Sina presha sina uti sina ngoma sina maleria uzito sawa ila ndo hvy miguu haina nguvu kutokea mapajani...
 
Habarini !

Nina tatizo la miguu kuchoka sehem za mapajani hasa nikiwa natembea eneo lenye mwinuko.

Vidole vyote vya miguuni kama vile vimekufa ganzi nahisi kama nimevaa soksi.

Mwanzo miguu ilianza kwa kuwaka moto sehem ya chini ya miguu baada ya hapo kufa ganzi na kuchoka Kwa miguu kulifata.

Naomba kujua chanzo na tiba yake nilienda hospitali nikapewa dawa za kupunguza maumivu ila hakuna matokeo chanya.

Kwa mtazamo wangu nahisi dozi ya macho na masikio nazo zinaweza kuwa chanzo ila sina uhakika kivile.

Asanteni
Mkuu pole sana kwa amradhi yako nenda kapime hospitali Damu itaonyesha unayo maradhi gani? Usipo pona nitafute mimi ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Nimetumia hio ila bado now natumia neuro support kidogo kuna uafadhali
NEURORUBINE_forte hilo ndio jina Lake. Nilikunywa kidonge kimoja miguu ikawa poa. Nilikuwa siwezi tembea mrefu nakuwa nahisi uchovu kupitiliza au siwezi simama mda mrefu nachoka kuanzia mapajani kushuka chini.
 
Hospital nishaenda ila bado
Nenda Hospitali kapime damu full Blood Picture itaonyesha maradhi yako chanzo chake huenda una upungufu wa madini na Vitamin mwilini mwako. Na pia usikose kupima figo wanapima kwa kuchukuwa kipimo cha mkojo wako. Huenda pia unayo asidi nyingi mwilini Asidi ikizidi mwilini inasababisha hayo maradhi pia. Kamalize Vipimo vya hospitali kisha uje hapa utupe mrejesho wako wamekwambiaje? Ikiwa wamesema hauna matatizo yoyote utanitafuta kwa wakati wako ili nipate kukutibia utakuwa unayo maradhi mengine ambayo hayaonekani kwa vipimo vya hospitali.

HOW ACID FOODS AFFECT THE BODY

2911014_HOW_ACID_FOODS_AFFECT_THE_BODY.jpg
 
Back
Top Bottom