Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

Ha ha ha ha sio wasukuma wote ni huyu tu katia doa

Jamàa hapendezi kuwa rais. Basi tu. Sio presidential material kabisaaaaa. Hapendezi kwa suti wala t-shirt za kyama!!! No wonder anagwaya kupanda ndege kwenda uraya na Marekani. Si ataonekana kituko kwenye mikutano!!! He is not presentable!!! Eti chaguo la manani!!! Viongozi wa dini ( baadhi) nao.... Ovyooo kabisa. I bet hili ni chaguo la shetani.. Satan/ Lucifer@ Ibilisi. Poor Tanzanians, poor Tanzania!!!
 
Siyo Miguna tu, mbona mlitishia kwenda ICC, yako wapi? Na msipojiheshimu mtagongwa kweli kweli
ICC! Usisahau ziara yao pale EU house walipokwenda kushtaki eti wanaonewa! Waliishia kuzungumza na vijamaa vyenye jeans zenye sun bleach!
 
Jamàa hapendezi kuwa rais. Basi tu. Sio presidential material kabisaaaaa. Hapendezi kwa suti wala t-shirt za kyama!!! No wonder anagwaya kupanda ndege kwenda uraya na Marekani. Si ataonekana kituko kwenye mikutano!!! He is not presentable!!! Eti chaguo la manani!!! Viongozi wa dini ( baadhi) nao.... Ovyooo kabisa. I bet hili ni chaguo la shetani.. Satan/ Lucifer@ Ibilisi. Poor Tanzanians, poor Tanzania!!!
Unaandika nini hiki? Kichwani uko sawa? Unashawishi tutafute warembo badala ya rais? Kwa watu wa aina yako lazina uburuzwe kama mbuzi. Hakuna sababu ya kusikiliza uchafu kama huu.
 
Bila kusahau Tundu Lissu na ziara yake ya Ulaya na America
Yeap! Lissu alipoona anavyoshabikiwa mitandaoni, akaamini kwamba akisema lolote duniani kote watamshabikia tu! Ndo maana akasema haoni sababu ya kuandika barua kwa spika kwa sababu dunia yote inafahamu kwamba alipigwa risasi.
 
Halafu anajinasibu kuwa mwanasheria nguli!
 
Halafu anajinasibu kuwa mwanasheria nguli!
Kumekuwa na majadiliano juu ya umuhimu wa elimu kwa mtu binafsi. Yaonekana Elimu huweka kitu kichwani lakini siyo lazima iondoe uchafu uliokaa kichwani. Mwizi anapojifunza sheria au anapopata mafunzo ya polisi, humfanya aijue sheria au kuwa polisi lakini haiondoi tabia ya wizi kichwani. Ni hivyo hivyo kwa mafunzo ya kidini na mengine, hata uwe mchungaji, wakati mwingine uhuni kichwani hautoki.

Lissu alisoma sheria, bado asilia yake kichwani haikutoka. Matusi meengi! Majivuno meeengi. Ooh mi ni mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani, mimi ni mbunge, iweje nipigwe risasi bila uchunguzi, Dunia nzima inafahamu nilipigwa risasi! Bhla bhla!
 
Back
Top Bottom