Migration Officer

Bobo

Member
Aug 20, 2011
54
8
Habari zenu ndg zangu wa JF, ndugu zangu natafuta kazi ya uhamiaji,elimu yangu ni ya form six. Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunijuza au kunielekeza nianzie wapi.
Asanteni sana
 
ok huwezi pata kazi ila unatakiwa uombe nafasi ya kusoma kwenye vyuo vyao ccp moshi na mbeya then utakuwa police kitengo cha uhamiaji kuhusu wapi pa kuanzia nenda kwenye headquarter yao kurasini then watakuambia lini wanapoke maombi ya wanafunzi wapya.all the best
 
Hivi hiki cheo kinaitwa Migration Officer? Mhhhhhhhhh naona kizunguzungu, ila kwa level yako inawezekana kuwa hujui kinaitwaje hiki cheo
 
Niijuavyo Uhamiaji, watatangaza ajira magazetini. Mtatuma maombi na yatafanyiwa shortlisting. Ukiwemo utaitwa for interview. Ukifuzu itakulazimu muende chuo kwa mafunzo ya awali ya uhamiaji. huko ni mafunzo ya ukakamavu zaidi na dozi kidogo ya mambo yao. Baada ya hapo uko mzigoni. Kwa nini unapenda uwe afisa wa uhamiaji?
 
nakushauri kuwa na bidii ya kununua gazeti uweze ona kazi kama vp tafuta issue nyingine ya kufanya
 
Habari zenu ndg zangu wa JF, ndugu zangu natafuta kazi ya uhamiaji,elimu yangu ni ya form six. Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunijuza au kunielekeza nianzie wapi.
Asanteni sana

Karibu Idara ya Uhamiaji.... Natumai utaleta mabadiliko kidogo.. Na utajitahidi kadiri ya uwezo wako kuzuia maofisa wengine wa Uhamiaji kuuza "Work permit" kwa Machokoraa wa kizungu na kusababisha Wa-TZ kukosa kazi na kushinda na kukesha vijiweni na JF.
 
Cjaona hata m2 alye mpa huyu jamaa jibu la kuridhisha.
 
Niijuavyo Uhamiaji, watatangaza ajira magazetini. Mtatuma maombi na yatafanyiwa shortlisting. Ukiwemo utaitwa for interview. Ukifuzu itakulazimu muende chuo kwa mafunzo ya awali ya uhamiaji. huko ni mafunzo ya ukakamavu zaidi na dozi kidogo ya mambo yao. Baada ya hapo uko mzigoni. Kwa nini unapenda uwe afisa wa uhamiaji?
Ni kweli mafunzo ni kiukakamavu kidogo lakini siyo ya kushindwa kufuzu. Chuo chao kipo Moshi siku hizi kama sikosei lakini awali walikuwa wanaenda Kiwira - Mbeya ambacho ndicho chuo kinachotoa mafunzo ya awali kwa askari Magereza. Uhamiaji waliomba recruit waowapitie hapo wakifuzu wanapangiwa post zao tayari kwa kulitumikia taifa. Swali la msingi kwa nini imependa kuwa afisa uhamiji? Maana idara y Uhamiaji ipo wizara ya mambo ya ndani kama ilivyo polisi, magereza na zima moto. Nadhani dogo utakuwa umevutiwa na mfumo wao ambao ni very corrupt! Sifa zao ukitaka kujiunga; - Origanal birth certificate, - Cheti cha form 4 na 6, vyote visiwe feki. Original certificate kwa waliopita zinapelekwa baraza la mitihani kwa uhakiki. - Barua ya maombi na uwe na urefu unaoanzia 5.6 inch.
 
na application letter zao huwa zinapelekwa wap,na maombi yao huwa yanaanza kupokelewa kuanzia lini?
 
Karibu Idara ya Uhamiaji.... Natumai utaleta mabadiliko kidogo.. Na utajitahidi kadiri ya uwezo wako kuzuia maofisa wengine wa Uhamiaji kuuza "Work permit" kwa Machokoraa wa kizungu na kusababisha Wa-TZ kukosa kazi na kushinda na kukesha vijiweni na JF.

kama wewe upo hapo si umsaidie kumpa jibu?
 
na application letter zao huwa zinapelekwa wap,na maombi yao huwa yanaanza kupokelewa kuanzia lini?
Kila mkoa una ofisi ya Uhamiaju hivyo barua zote za maombi zinapelekwa kituo chochote kilicho karibu, kuhusu ajira kuwa zinatoka lini hili halina wakati maalumu lakini ni lazima nafasi zitangazwe katika magazeti likuwemo daily news.
 
mishahara yao huwa ikoje?
 
mishahara yao huwa ikoje?
Mishahara ni siri hivyo huwezi kuianika hapa jukwaani lakini ni mishahara ya kawaida kwa kuanzia mtu mwenye elimu kama y mtoa mda form six kwa sababu degree holder anaanzia na TGSD sasa kama na wewe unamkaribia siyo mbaya kihivyo.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom