Migomo yatawa Zimbabwe: Madaktari 77 wafukuzwa kazi huku watumishi wa Serikali nao wakianzisha mgomo mpya

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Madaktari katika hospitali za Serikali wamefukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu kwa kukiuka amri ya Mahakama ya kuwataka kurudi kazini baada ya kugoma kwa miezi miwili wakitaka maboresho katika malipo ya mishahara

Pamoja na hayo, wafanyakazi wa Serikali nao wameanza mgomo leo baada ya Serikali kushindwa kukidhi matakwa hayo katika maboresho ya mishahara kulipwa katika thamani ya Dola

==============================

Junior and middle-level doctors at Zimbabwe state hospitals that have been on strike for two months to press for higher pay have been discharged after disciplinary hearings.

Last month, a Zimbabwean court has ordered doctors on a strike over pay to return to work within 48 hours, after a ruling that their boycott was illegal.

Zimbabwe state workers are expected to go ahead with Wednesday’s street protest after the government failed to give in to their demand for U.S. dollar-indexed salaries to cushion them against soaring inflation, union officials said on Tuesday.

The Health Service Board, which employs the doctors, had asked the court to force them to get back to work, arguing that they were not allowed to strike because they provided an essential service.

The doctors have already said an offer to raise their allowances by 60% was “ridiculous” as it would take their monthly salaries to around 1 700 Zimbabwe dollars ($111), well below their demand of a 400% salary hike.
 
Back
Top Bottom