Migomo ya wasomi isidharauliwe: Onyo kali kwa viongozi wa serikali:

geophysics

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
904
166
Kumekuwepo na migomo karibu kila kinachoitwa chuo kikuu nchini Tanzania. Lakini cha kushangaza serikali inachukulia mzaha mzaha tu.... Bila hata kuangalia undani wa matatizo ya hawa vijana. Pia hata waadhili nao wameanza migomo ya kimya kimya.... Serikali bado haioni umuhimu wa kutatua matatizo ya wahusika... Serikali inaamini polisi tu kwa kuzuia migomo hii kwa nguvu ya dola... lakini.... ???? Onyo...viongozi fanyieni kazi haya mambo maana yanaweza kuwa makubwa zaidi mbeleni....
Mchango wenu wana JF
 
Back
Top Bottom