Migogoro mikubwa ya ardhi jijini Tanga

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Kuna migogoro mikubwa ya ardhi ambayo imesababishwa na maafisa wa ardhi Tanga kwa kuchukua ardhi ya watu chini ya kisingizio cha mipango miji na matumizi bora ya ardhi bila kufuata taratibu za kisheria.

Na kamati ya utatuzi wa ardhi inaegemea upande wa waarabu waliokuwa wamepewa viwanja stend kwa kughushi.

Kuna nyumba zimejengwa eneo la stend ya mabasi na viwanja hivyo vilibadilishwa matumizi na watendaji wa idara ya ardhi kwa kughushi na kuwagawia watu ambao wamejenga nyumba.

Mtu hatari ni Tony nadhani katika taarifa zako mtu huyu uliambiwa hata kwenye mkutano.
 
Back
Top Bottom