Migogoro kwa wapinzani siku zote ccm hutumia udhaifu huo kuwasambaratisha

Don Alaba

Senior Member
Nov 3, 2010
167
18
Chadema jitahidini kuondoa tofauti ndani ya chama hizo ni nyufa au tundu dogo katika neti ambalo mbu akipita anaweza sababisha mtu kufa na malaria, zibeni matundu ondoeni nyufa kuepuka hawa jamaa, angalieni na mamluki katika chama, maana maji ya moto hupoa kwa kasi yanapotolewa jikoni. Godbless you Chadema.
 
Hakuna nyufa hata kidogo. Kinachoendelea ni mchakato wa wazi(sio wa kinafiki) wa kidemocrasia na una hatima nzuri yenye tija.
 
Chadema jitahidini kuondoa tofauti ndani ya chama hizo ni nyufa au tundu dogo katika neti ambalo mbu akipita anaweza sababisha mtu kufa na malaria, zibeni matundu ondoeni nyufa kuepuka hawa jamaa, angalieni na mamluki katika chama, maana maji ya moto hupoa kwa kasi yanapotolewa jikoni. Godbless you Chadema.

Ushauri mzuri mkuu, na kikubwa hapa ni kuweza kutambua Mbegu njena na Magugu pia ili kuyang'oa mapema kabila hayajadumaza Mbegu njema. Tuko pamoja Chadema
 
Nimekupata mkuu issue hii ni ndogo sana kwani wanaosumbua ni watu wawili wakizidi sana watatu ndio wanaleta hizi chokochoko wakati wananchi zaidi ya 2.2mil. includi wafanyakazi zaidi ya 350000 wa uma na wanafunzi wote nchini wako nyuma ya Dr. Slaa kuhakikisha mambo yanaenda viauri kama tunavyoyataka.

Tusubiri Chama kitasema nini, maana kuna watu wapo juu kwa sababu ya kupewa nafasi kwenye chadema sasa wanaleta usumbufu, kwa upande fulani tunasema ni democrasia lakini hata democrasia ina mipaka.

Peoples power.
 
Back
Top Bottom