Migogoro inayoikumba Kenya inaweza kutua Tanzania?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Nchini Kenya kuna migogoro mingi sana ya kisiasa na ile ya watumishi wa umma kati ya serikali na raia wake.

Mpaka sasa kwa hali ilivyo hivi sasa Tz kuna kipi cha ajabu kujilinganisha/kujitofautisha malalamiko ya raia wa Kenya?
 
Tanzania ndo inazidi kabisa, na mbaya zaidi hatujui kudai haki zetu,
 
mleta mada unatakiwa utambue kenya na tanzania ni nchi mbili na tunatofautiana itikadi na misingi ipo tofauti.

misingi ya kenya imejikita katika UKABILA lakini tanzania kuna misingi ya kidini
 
Back
Top Bottom