Migodi ya madini tanzania ni majipu

MSHAURI_WA_NCHI

Senior Member
Nov 10, 2015
139
73
Mheshimiwa rais magufuli tumbua majipu haya yamekomaa sana. Kama nchi haiwezekani mwekezaji atone kwao ulaya kuwekeza bila tafiti. Lazima muangalie tafifti zao zilionyesha kiasi gani cha madini kipo ardhini. Na watachimha kwa muda gani.

Hivyo Leo MTU (buzwagi) asitueleze kwamba anafunga shuGuli za uchimbaji bila kusema amevuna kiasi gani na nchi imenufaika kiasi gani.
 
Huko kwenye madini ndio hela zipo nyingi wanahangaika na kodi za mabango..kaburu anayajua sana madini South Africa imeendelea kwa ajili ya Madini yao ukiwaona hapa ujue wapo kuzoa kwa kuwa uwangalizi ni mdogo sana na asilimia tunayopata ni chenji tuu katika Faida wanayopata..badilisheni sheria Botswana wanapata 47% ya madini yaliyochimbwa ndio maana tunaona uchumi wao upo strong ila wana madini kiasi kidogo kuriko Tanzania wenye aina nyingi tofauti za madini mpaka mengine yanaitwa jina la Nchi Tanzanite lakini bado hayatusaidii kitu..
 
Back
Top Bottom