maria pia
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 516
- 118
Eeeh. Hii kali. Kama kweli wanaacha kazi watakuwa wamesaidia kuwa na nafasi kwa ajiri ya ajira mpya.
Hivi mtu unafanya kazi ili upate pension ya ujanani???
Na wasiwasina uwezo wako wa kufikiri.....